Naulizia hospital au kituo bora cha afya Wilaya ya Mbinga

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
372
Naulizia hospital au kituo bora cha afya ,na shule au chuo kama kipo mbinga mwenye kaelezo pliz ni PM na unipe mawasiliano ikiwezilekana naomba majina ya Hosp nzuri na shule na vyuo....
 
Mbinga nilipita zaman sana nasikia imendelea kdg nitawatafuta washkaji wa zamni wakipita taarifa nitakujuza.....Kama una mgonjwa au unaumwa sogea Peramiho...
 
Naulizia hospital au kituo bora cha afya ,na shule au chuo kama kipo mbinga mwenye kaelezo pliz ni PM na unipe mawasiliano ikiwezilekana naomba majina ya Hosp nzuri na shule na vyuo....
Kuna hospitali nzuri sana ya misheni inaitwa Litembo. Sina contacts zao, ila hope watu watakupatia. Ina kila facility muhimu ya tiba.
 
Hospitali ya Litembo imepoteza umaarufu sasa hivi, sio ile ya zamani ya wakati Wa Dr Wayer, hata hospitali ya Anglican ya Liuli nayo kwishaaa!! Kama ni mgonjwa bora Peramiho ambayo haipo wilaya ya mbinga.
 
Back
Top Bottom