Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,558
- 1,462
Humu JF. hakuna swali lisilo na majibu hata kidogo.
Membe anatafuta atoke Vipi! Ameanza Kupima Upepo wa JF Ukoje. CCM Wote ni Wezi tu
Humu JF. hakuna swali lisilo na majibu hata kidogo.
Hivi wale wananchi ambao walitekwa wameachiwa? au bado wanashikiliwa? watanzania wapenda haki tunaulizia.
Mbopo na Serikali yao can Answer that question
CCM haikuwa na mgombea Arumeru. Kulikuwa kuna mamluki aliyewekwa na Mungu wa siasa za kifisadi akidhani kufanya hivyo angeukomoa mfumo kumbe wapi! Sasa tunasubiri tuone atakavyoibuka na kwenda kumwaga fedha chafu kwenye madhabahu na misikitini, akidhani kwamba hiyo ndiyo inayonunua mapenzi kwa watanzania wanaosubiri kila fursa ya kumtia adabu kila anapojitokeza. Mwanasiasa ambaye hana mvuto wala hakubaliki kwao, atasema ana nguvu wapi? Labda benki anakoweka fedha zake!
Membe anatafuta atoke Vipi! Ameanza Kupima Upepo wa JF Ukoje. CCM Wote ni Wezi tu
Naelewa mzee huyu, familia na wapambe wake wanavyojisikia baada ya watu kumkataa na kumuumbua kwa ghilba zake. Tukiendelea kumuandama, tutampoteza jamani!
Naweza kuhisi hasira na uchungu ambao wewe, walamba viatu wenzio pamoja na kuhani mkuu mnao baada ya kunyang'anywa nguo mbele za watu. Sasa mmegeukia kutukana watu wakati ukweli ni kwamba wana Arumeru wamedhihirisha kwamba kumbe nguvu ya fedha inaishia kwenye vyumba vya mikutano dodoma na siyo mbele ya umma wa watanzania wenye hasira na rasilimali zao mnazozitumia kujitakasa kwenye nyumba za ibada. Tunasubiri mtie mguu Arusha watu wamalizie kuua mwenye paka baada ya paka kuuawa kule Arumeru.
Poleni sana kwa kuumbuliwa!
Ilitabiriwa jana kwamba jamaa atatafuta namna ya kuua noma na kweli jana hiyo hiyo amejichukulia fursa ya kujificha nyuma ya Tamasha la Pasaka na kukuza yale yaliyotokea kule Uwanja wa Taifa. Yote kwa yote, ukweli ni kwamba jogoo la Monduli haliwezi kuwika Arumeru!
CCM haikuwa na mgombea Arumeru. Kulikuwa kuna mamluki aliyewekwa na Mungu wa siasa za kifisadi akidhani kufanya hivyo angeukomoa mfumo kumbe wapi! Sasa tunasubiri tuone atakavyoibuka na kwenda kumwaga fedha chafu kwenye madhabahu na misikitini, akidhani kwamba hiyo ndiyo inayonunua mapenzi kwa watanzania wanaosubiri kila fursa ya kumtia adabu kila anapojitokeza. Mwanasiasa ambaye hana mvuto wala hakubaliki kwao, atasema ana nguvu wapi? Labda benki anakoweka fedha zake!
Hakika obsession yako na Membe imepitiliza. Hakika mzee huyu akisikia jina la Membe linatajwa haja ndogo inajongea yenyewe.