Naulizia driving school

ALEX_ANDER

JF-Expert Member
Jul 8, 2014
570
812
Habari za saa hizi wakuu naulizia driving school nzuri iliyoko Temeke Dar mbali na VETA, nahitaji kujua bei zao na muda ambao mtu anaweza chukua mpaka kumaliza mafunzo ya kuendesha gari ambayo ni manual. Hii ni kwa dereva wa magari ya kawaida tu ambaye tayari hana foundation kwenye driving.
 
Ada laki 2.kwa mwezi..
Manual rahisi sana.umakini wako tu.ila sijajua chuo ki ngine huko temeke.
 
Back
Top Bottom