Muhas kuna bsc nursing in anesthesia.Level yoyote
Level yoyote ile sifa ninazo sema Vyuo ndo shida ngoja nichek kcmc [emoji1431]
Ok thanks ila ni miaka 4 + 1 wa internships 😁 nitamaliza mwendo nikiwa nimechoka Sana😂Muhas kuna bsc nursing in anesthesia.
#MaendeleoHayanaChama
Ila nimesikia Kwa level ya certificate ni mwaka mmoja tu kama nitaipata hii itakua poa SanaOk thanks ila ni miaka 4 + 1 wa internships 😁 nitamaliza mwendo nikiwa nimechoka Sana😁
Muhas kuna bsc nursing in anesthesia.
#MaendeleoHayanaChama