Mi nlijiskia kama nipo mbinguni hivii yani nilikuwa namshika yesu mkono,yule malaika gabrieli nimemuona,izraeli mtoa roho za watu kumbe anafanana na babu
Asprin haki ya nani!!! Nikijiskia kupigana bas nlikuwa narusha ngumi na mateke utaskia mama 'yalaaa we mtoto utaniua !! yan nilikuwa naskia raahaa !!