KIJOME
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 3,084
- 733
Heshima kwenu wakuu,
Naombeni ushauri wenu wana JF mimi ni mlevi wa huu mtandao ninapoukosa kuupitia kila baada ya muda huwa nahisi unyonge,kilichonipata mpaka kuwaomba msaada ni speed ninapoingia JF,huwa kila ninapo sign in page inakuwa slow kiasi kwamba ni mpaka nirudie mara 2 au 3 ndio ifunguke hata kwenye thread hali kadhalika,inanihuzunisha sana wakati ninapopita kwa haraka au kchangia thread yoyote,sasa wakuu kuna kitu nimekosea kwenye settings au nanyi mna face this problems??
Kila la kheri wana Great Thinkers michango yenu inatuelimisha.