Nauliza: Wahindi kwenye mahusiano wapoje?

Nauliza: Wahindi kwenye mahusiano wapoje?

Hao ni wa kugegeda na kusepa, wabaguzi sana hata mkipendana hamtofika mbali.
Kuna kaka alijifanya kufosi kumuoa binti wa kihindi... Akampachika mimba! Baba wa binti wakampeleka binti hospitali kwa lazima na kuitoa
 
Wahindi weupe hawawathamini wahindi weusi!!!
Sasa patia picha wewe na uafrika wako kama utathaminiwa!!
Katika race wabaguzi, wahindi wanaongoza.

Hao weupe hawajujui tu muhindi halisi ni mweusi hata waarabu pia
 
Ukitaka kuoa muhindi/mwarabu kama wewe ni mweusi unatakiwa uwe na pesa. Umiliki magari ya maana hasa prado na nissan safari. Jamaa ni wabaguzi wa rangi si kitoto, lkn kama pesa ipo wanakuona na wewe ni mweupe kama wao. Binti yao anaweza kukupenda lkn kutokana na vikwazo kutoka kwa wazazi nae anaweza kukata tamaa. Hata kama ukimpa mimba binti yao wakikuona hauna sifa wako tayari kumtoa. Dini si kigezo kikubwa kwao japo wanajinasibu kuwa ni watu wa dini sana. Kama huna pesa halafu wewe ni mweusi hata uwe unajua vp dini na kuabudu wewe hufai.
Jipange kaka.
 
Jiandae mechi za alfajiri. Wao mapenzi wanafanyaga alfajiri tu kuanzia saa kumi kumi na moja
 
Kuna kaka alijifanya kufosi kumuoa binti wa kihindi... Akampachika mimba! Baba wa binti wakampeleka binti hospitali kwa lazima na kuitoa
[emoji25] [emoji29] duuuh....Pole yao...ila mbna km nawew ni Indiana Paprika[emoji4]
 
Wapo tayari kumpoteza bint yao kuliko kuolewa na rangi nyeusi.
 
Wana mapenzi yakweli tatizo ni wazazi wao me mwenyewe walinifanyia visa sana hadi wakamwamisha mtt nchi ili tu awe mbali namm haitosho wakamtafutia na mchumba wakumuoa pumbavuuuuu zao hawa makanjibai
 
Ukiwa na muhindi basi uwe na uwezo wa kula 0713
 
Ni namba moja kwa ubaguzi jiandae kutolewa kafara labda ukutane na muhindI aliye changanya mama mswahili na baba muhindi hapo kuna afadhali
 
poa unatakuwa unatakiwa uwe kamili una nyumba na gari pia hela za hapa na palr hazikupigi chenga
 
....akikukubalia ili uione ngozi yake ya kifuani ................ baabaaaaa sahamu papuchiii........ Demu wa kihindi yupo radhi umzibue mtaro kuliko umle papuchi so ww andaa ky na soksi ......"ila usisahau kutuletea mrejesho"""
kutokana na tamaduni zao ndo zina wafany wawe hivyo bintI lazima aolewe akiwa bikra na kama akikutwa sio bikra ni aibu kwa familia
 
wanapenda kutumika kwenye mtandao pendwaa ule ila siyo wotee#wanahama mtandao bila kubadili namba
 
Back
Top Bottom