Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,739
@BUJIBUJI ni wa kike au ni wa kiume?
Mamito sio wote wako hivyo na wala mm siko hivyo
nikiambiwa na wakubwa zangu wapangie kazi hao wenzako
huwaga nafanya hivyo tena kwa upendo na kutaniana
hapa na pale, lakini imenishangaza kwa hyu kwani
yeye wakati wa kazi yuko nje mara aseme naenda dukani
mara aseme nimepigiwa simu kuna mtu nje namcheki?
Mamito yaani visingizio kibao mpaka inafikia maudhi
bestito mm ni mtu muungwana sana kama ukiwa nami
muulize asprin, bujibuji, mentor na passionlady watakwambia
hivyo huwaga niko peace & love kwa wenzangu wote kwani
tunajua tunachokifanya hapa kwetu,
sijajua huyu mwenzetu kwani hata leo yenyewe ndo anaingia
sasa hivi job anacheza na kazi wakati wenzake wako nje
hawana kazi. Ipo siku atajifunza na kuthamini kazi.