Nauliza tu....

Hahahaha....umenkumbusha mbali sana. Mm hiyo kitu nliacha baada ya kuteleza na kuanguka na mama akasema "asante Mungu, nlikuwa nasubiri kwa hamu sana". Aisee, nlijipaka mafuta huku natoa miguno ya maumivu na jazba juu. Kuanzia hapo nlikuwa siendi kuoga bila taulo.
 
asee pole sana
 
faca7045aadb7348313e9e9debeed1ce.jpg

Nataka nijue niache au bado bado
Ukiweza kufanya hivyo ukweni ndo utakuwa umri wa kuacha umefika
 
faca7045aadb7348313e9e9debeed1ce.jpg

Nataka nijue niache au bado bado
Ukisha vunja ungo na ukaanza kuliwa nanihii,ni wakati wa kutoacha kabisa kabisa,yaani unakuwa huna haya tena coz tayari umeshajua kutafunwa,kwa hiyo kwenda na kutoka bafuni uchi haijalishi kabisa,wewe unajiachia tu ili uwe mtafunwa wakati wooote.
 
Back
Top Bottom