MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
- Thread starter
-
- #21
Mjukuu mtiif
Inawezekana kama walivosema my two sisters apo juu.. na pia inaweza kuwa ni hisia za muda tu ikumbukwe kuwa haya mambo ya hisia yanakuwa na muda wake na mahali pake......kama mwanaume nikihitaji nyumba ndogo u know what to do and what not ili kuiwin...na nadhani pia kwa upande wa wanawake pia wanapokuwa na vidumu
tukirudi kwenye hoja kwamba wengine wanakuwa wameoa /olewa kwa sababu nyingi sio mapenzi tu so when the time comes mtu anapata 'true love' anajimuvuzisha
Ila ikumbukwe kuwa nyumba ndogono ndogohaiwezi kuwa kubwa I mean sikio halizidi kichwa....
Nadhani ni very possible kutegemeana na background ya mahusiano yaliyowapelekea kuwa kny marriage au pia huko nje unaweza kupata kile ulichokuwa unakimiss!!
GOD FORBID:hand:
MJ1,
Mimi si muumini wa hiyo kitu mnaita eti ni "True love". Kwa hiyo lolote laweza kutokea ukiwa mwanzoni, katikati au mwisho mwa safari yako ya mahusiano na mwenza wako.
Suala la msingi na ambalo ni muhimu kuliweka maanani..."Hakuna rafiki au adui wa kudumu". Ni suala la muda na mahali ulipo (time and location)!!!
Leo English Premier League tuna-watch sehemu gani?
MfalmeNyota au Oceanic?
Mjukuu mtiifu......
Heshima mbele....
Babu yangu aliwahi kuniambia kuwa asilimia kubwa ya wanaume huwa wanaoa wanawake wasiowapenda (sijui ni kama wa enzi zake au mpaka wa sasa) Lakini kiukweli kuna hiki kitu watu wanasemaga "wife material" ambapo wanaume wanaoa kwa sababu amekutana na mtu ambaye anadeserve kuwa mkewe kwa kuwa amefikia vile vigezo anavyoona vinafaa mtu kuitwa mkewe.
Unaweza kumpenda mtu sana lakini....damn....
Anapaka mkorogo, watanicheka watu
Mweusi sana, namimi nlivo mweusi watoto watakuwaje?
Da! mfupi kama mbilikimo, ntapitaje naye mtaani? nk nk nk
So unaoa yule ambaye ana vigezo ulivyojiwekea.....siku ukija kutana na yule mpaka mkorogo wako ambaye kiukweli ulimpenda, mnajirusha kama kawa....aftaroo siyo mkeo, nothing to loose........Mkeo mwenye 'wife material' yuko home analea watoto we unajirusha na yule umpendaye ila tu kwa kuwa hana 'wife material' hukumuoa.
Angalia hata hapa JF vijana wengi wanavyotafuta watu wa kuoana sifa wanazowekeana...:Awe na digrii, awe mrefu, mkristo, msambaa,mrefu, mnene et el....as if mapenzi yana vigezo!
Hivi nlijibu swali? Ahaa sikujibu? Orayt, jibu ni Yes, unaweza kupata true love kwenye nyumba ndogo, endapo tu ulioa 'WIFE MATERIAL'!
Naomba mungu aniepushie balaa hili. Kujibu hoja ni ndio inawezekana kama hamkupendana na partner wako kiukweli.
Napita tu habari zenu
Duh BAbu.............HESHIMA Mbele so nyumba ndogo are there to stay......hiyo ya wife material mie ningependa sana kupata ufafamuzi kwenu kina kaka when you say wife materia ndo anakuwaje??
Ukimaliza kupita then tujoin ili utupe mchakato wako
Hahahahaaaaaaaaaaa natamani ningekua member wa dowans ningekua nategemea kupata mafweza sasa, mtazamo wangu kuhusu mapenzi kwa kweli kila siku zinavyoenda nakosa jibu, nimeamua niache kama ilivyo tu kitakachotokea poa tu mradi maisha yanaendelea, sitaki kabisa kujimiza kichwa kuhusu mapenzi hayana formula.
Hahaha...jamaa yangu alikuwa anampenda sana demu wake enzi tunasoma....Alimpenda sana. Mpaka jamaa walipomwambia: hivi siku ukaja kuwa na wadhifa flani, huyo utakuwa radhi kwenda naye kwenye hafla ukamtambulisha kwa wenye hadhi wenzio? Jamaa akampiga chini akaoa mchuchu mwingine.....Haikupita miaka jamaa akaendelea kuibanjua amri ya sita na ampendaye..
Anyway, mi nadhani WIFE MATERIAL ni mwonekano wa ki-nje zaidi....figure, tabia, sauti, sura, haiba nk nk nk.....wakati TRUE LOVE haliangalii hiyo! Ndio unaposhangaa jamaa kaoa....changudoa, malaya, mwizi, chakubimbi, chongo anaona kengeza nk nk nk
Dear maty si kweli kabisa mapenzi yana formula = 1 + 1 = 1 ......kuwa mnakuwa kitu kimoja ingawa mwala sahani mbili tofauti.
Wandugu Subhai? takwenya? tukulu kabisa? (salamu jamani)
Nimejaribu kureflect mitazamo mbalimbali humu jamvini kuhusu nyumba ndogos nikajikuta najiuliza mawaswali yaso na majibu. Ninaomba msaada wenu
Inawezekana haijakutokea wewe but umeshaiona kwa mtu wako wa karibu au jirani yako....
1. Is it possible to find a true love in nyumba ndogo? (Compatible partner acc to Teamo's definition of true marriages). Kwa maana ya kwamba mtu kapata nyumba ndogo halafu wakajikuta they are so compatible kiasi cha kuhisi kuwa they were meant for eachother just that hawakubahatika kuonana/kutana mapemda kabla ya kujicommit kwingine ambako wanahisi wamekosea/force??
Hapa tunajua kuwa ni dhambi kuwa na mahusiano nje ya ndoa yako..........but tuongee reality hapa kuwa ni kweli zipo despite mafundisho hayo.
ni hilo tu................
Hahaha...jamaa yangu alikuwa anampenda sana demu wake enzi tunasoma....Alimpenda sana. Mpaka jamaa walipomwambia: hivi siku ukaja kuwa na wadhifa flani, huyo utakuwa radhi kwenda naye kwenye hafla ukamtambulisha kwa wenye hadhi wenzio? Jamaa akampiga chini akaoa mchuchu mwingine.....Haikupita miaka jamaa akaendelea kuibanjua amri ya sita na ampendaye..
Anyway, mi nadhani WIFE MATERIAL ni mwonekano wa ki-nje zaidi....figure, tabia, sauti, sura, haiba nk nk nk.....wakati TRUE LOVE haliangalii hiyo! Ndio unaposhangaa jamaa kaoa....changudoa, malaya, mwizi, chakubimbi, chongo anaona kengeza nk nk nk
hii kitu inawezekana kabisa,hasa ukizingatia yule mwenye kutafuta nyumba ndogo yuko kny mahusiano ya namna gani,nini chanzo chake cha kuwa kny uhusiano alio nao,na ni nini anachoona anakihitaji zaidi ingawa hakuna aliye sahihi sana ila wanazidiana kwa namna mbalimbali
Mo-TOWN inawezekana because i have seen it happening may be unasema haiwezekani kwasababu haujaona kitu kama hicho kikitokea but for me i have seen it happeningMwanajamiione it is very clear kwamba HAIWEZEKANI kwa sababu mazingira ya nyumba ndogo siku zote sio ideal in real life situation! Ikumbukwe kwamba ktk issue za nyumba ndogo ni kwamba the two wanajaribu kufit it ktk hiyo relationship kwa madhumuni tofauti. kwa mfano for some reason mwanaume/mwanamke anaweza kuwa ameboreka na ndoa yake anapojipatia nyumba nyumba ndogo mara nyingi uweka wazi masaibu yake. Hapo ndio ndio nyumba ndogo wanapo outsmart wenye ndoa zao. Just find out for yourself utagundua kuwa swala la COMMUNICATION kwa nyumba ndogo ni kubwa sana kuliko kwa wana ndoa, kutokana na hilo ni rahisi sana kwa either side kujua broadly aishije na mwenzi.
Kyabushaija ................okay NDOA ni matokeo ya mazingira.............I hope si zote.Asilimia 100% ya ndoa ni matokeo ya mazingira (chances) na siyo mapenzi ya dhati (choices)! ...
Kwahiyo asilimia 100% ya "nyumba ndogo" ni matokeo ya "choices"...
Kama jamii na Imani za dini fulani zingeruhusu ... Asilimia 100% ya wanandoa wangekuwa na wenza zaidi ya mmoja "legally" ...
Ndio darl.............ni mwili mmoja but matumbo mawili ati.umenichekesha eti ingawa twala sahani mbili tofauti lol.
So mpaka hapa hakuna wife material wala nini ni feki----- wife material nilitegemea ingekuwa kinyume..wife material unaangalia tabia nzuri, heshima na upendo ambao hutoka sana sana kwa wale ambao hawana mvuto kiviiiile mara nyingi (Wengi wa machepele huwa wana mivuto bwana).