Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
Na hata hii kesi ya Mbowe na wenzake, hakuna askari polisi wa Kilimanjaro au Moshi. Hii kesi unaiona ina mkono wa Sabaya. Hata ukiangalia mashahidi wa Jamhuri wako connected na Sabaya (mfano Kaaya ambaye alikua akifanya kazi za nyumbani kwa Sabaya). Ukamataji wa watuhumiwa wa kesi ya Mbowe haujahusisha askari polisi wa Kilimanjaro au Moshi, Sabaya hakuwa nao vizuri hawa askari wa Kilimanjaro. Huyo Kingai aliyekuwa RCO wa Arusha na Mahita aliyekua ofisi ya OC - CID Arusha, wote hao ni team Sabaya, ndiyo maana waliweza kutumika katika operation bila hata kumhusisha askari hata mmoja wa Kilimanjaro wakati ukamataji ulifanyika Moshi Kilimanjaro.RPC alikuwa against hila za Sabaya.
Ndiyo maana Sabaya alipowasingizia wafanyabiashara wa mabasi ya mikoani kuharibu reli, RPC alifanya uchunguzi na akakanusha kwamba si kweli (tukio la kijasiri sana hili kwa nyakati zile za Magu).
Ndiyo maana Sabaya alifanya uhalifu sana Chuga sababu ya kuwa na akina Kingaiii ambao wanamuunga mkono unyama wake.
Na yule Mwendazake angekuwepo, wala asingefunguliwa hiyo kesi. Na bila shaka, leo hii angekuwa ni MKUU WA MKOA! Hata yule MUSIBA, hizo kesi alizohukumiwa kulipa mabilioni ya fedha, zingekuwa zishatupiliwa mbali.Katika awamu ya 5 (awamu ya kijambazi) Sabaya alikuwa kama Nungunungu(hakamatiki)
Najaribu kujiuliza Aliyekuwa MKUU wa WILAYA ya HAI Bw.SABAYA alifanya Matukio ya UHALIFU ndani ya HAI Na Nje ya HAI
WILAYA ya HAI ina OCD na MKOA una RPC Je ni kwanini VIONGOZI hao Hakuna Sehemu yoyote Wanaonekana Kumchukulia Hatua za KUMKAMATA Bw.SABAYA mpaka pale Mh.RAIS SAMIA Alipomsimamisha KAZI na Kuagiza UCHUNGUZI Ufanyike na ndipo ALIPOKAMATWA
Je ule UHALIFU ulikuwa na BARAKA za OCD wa HAI na RPC wa Kilimanjaro?
Na Kwanini kwa Kutokumkamata Bw. SABAYA Wakati Akitenda UHALIFU Wasichukuliwe Nao HATUA
Uyo mwendazake apelekewe moto kw matendo yake ya kufuga majambazi kama sabayaNa yule Mwendazake angekuwepo, wala asingefunguliwa hiyo kesi. Na bila shaka, leo hii angekuwa ni MKUU WA MKOA! Hata yule MUSIBA, hizo kesi alizohukumiwa kulipa mabilioni ya fedha, zingekuwa zishatupiliwa mbali.
Hayo, ndiyo tuliyoyaona. Sina shaka kulikuwa kuna MAOVU mengi sana yakifanyika, ambayo hatuyafahamu! Namuomba
Mwenye Enzi Mungu amuweke JPM mahali panapofanana na MATENDO yake!
Najaribu kujiuliza Aliyekuwa MKUU wa WILAYA ya HAI Bw.SABAYA alifanya Matukio ya UHALIFU ndani ya HAI Na Nje ya HAI
WILAYA ya HAI ina OCD na MKOA una RPC Je ni kwanini VIONGOZI hao Hakuna Sehemu yoyote Wanaonekana Kumchukulia Hatua za KUMKAMATA Bw.SABAYA mpaka pale Mh.RAIS SAMIA Alipomsimamisha KAZI na Kuagiza UCHUNGUZI Ufanyike na ndipo ALIPOKAMATWA
Je ule UHALIFU ulikuwa na BARAKA za OCD wa HAI na RPC wa Kilimanjaro?
Na Kwanini kwa Kutokumkamata Bw. SABAYA Wakati Akitenda UHALIFU Wasichukuliwe Nao HATUA?