Nauliza tena

Nauliza tena

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Penzi jipya huwa lina expire baada ya muda gani!?maana mwaka wa pili sana mahaba ni yale yale kama tumejuana jana!au hapa libwata imehusika wakuu!maana Mtoto simchoki yaani kama nimekutana nae leo [emoji3059]
 
Miaka 2..hapo mwanamke akiwa na uvumilivu ..(nilivyosikia eti)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom