Nauliza swali dogo tu

Mwanaume uwe na mambo matatu
1. Pesa
2. Kwenye bed uwe mtaalam
3. Akili(busara) ya kuishi na mwanamke.

Ukiweza hayo kazi imeisha 100%
 
Ajitambue, mapenzi ya kweli na muwajibikaji ktk familia, na jamii Kwa ujumla, that's all I can say about the real man
 
Pesa za kubadilishia mboga au?

Principally uwe na pesa sasa inategemeana kama unataka watoto wakali(geti kali) inabidi uwe na pesa mingi ila kama unataka wanawake wa kawaida basi hata pesa za kubadilishia mboga zinatosha sana hata ukienda Tanga unarudi na mtoto matata sanaaaa
 
Ni yule anayekoroma usingizi. Hata wakora usiku watajifkiria mara mbilimbili kukuvamia usiku!! kroooo!! Krooooo!! Na itakuwa raha zaidi mwanamke naye aitikie!! kruuuuu!!kruuuuu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom