Sina hakika katika Uislam kama huwa kuna PHD lakini katika Ukristo zipo nyingi tu, ukisikia mtu ana cheti kinaitwa DD maanake ni kuwa yeye ni Doctor of Divinity, au Masters of Divinity au Masters in Ministry, kwahiyo zipo ngingi tu, baadhi ya Vyuo vinavyo toa Elimu hiyo hata hapa Bongo vipo tena vingi tu.
kuhusu Dr Slaa, nafikiri yeye ni mtaalam wa sheria, hivi kama mtu ni msomi, Lugha ya Dr Slaa mbona huwa inaonesha tu kuwa ni mtaala wa sheria? rejea hotuba yake ya MwembeYanga 2007 alipotaja Top 11 of corrumption In Tanzania, kama ni mtafiti utajua tu kuwa ni mwelewa katika maswala hayo.