Wakuu heshima mbele,
Naomba kuuliza swali moja kwa anaejua. Muhingo Rweyemamu ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe hivi karibu na Salvatory Rweyemamu a.k.a Salva ambaye ni Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ni ndugu?
Maana naona wote ni wanatumia Surname ile ile na wote ni wanahabari by Professional na wote wamewahi kupita Habari Cooperation kama sikosei. Najua watu kufanana Surname siyo lazima wawe ndugu so naomba msinipe hiyo changamoto maana naifahamu.
TUMBIRI - (Hull University, UK),
JF Daima