Nauliza jamani

DAVIES

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
516
Reaction score
90
Yeyote anayefahamu kwa undani GNLD Inahusika nanini??
 
dawa, virutubisho, sabuni mara kugawana hela ukiingiza watu wengi n.k
 
Sijaelewa umeandika nini. Sabuni mara kugawana hela ukiingiza watu wengi????????????
sabuni na kugawana hela kama utaingiza new members wapya wengi huelewi?

Bora umerudi huku upate kichuri na kirunguri brain irudi mahali pake
 
wanauza dawa mbalimbali na suppliments kwanini usi-google upate taarifa zake?
 
wana bidhaa za afya, ngozi, usafi, kupunguza mafuta mwlini na bidhaa za mimea.
 
Nashukuruni wote angalau nimepata idea maana nimeona gazeti moja la kenya likionesha members walivyo tajirika na GNLD Mpaka wanamiliki ndege si utani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…