Kijana ushe2
Senior Member
- Apr 6, 2017
- 178
- 127
Naomba msaada kwa mtu yeyote hapo anisaidie mawasiliano ya simu nataka nipate mwanga zaid
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
umepangwa nn mzee baba?Naomba msaada kwa mtu yeyote hapo anisaidie mawasiliano ya simu nataka nipate mwanga zaid
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana ndugu kwa kupata fursa adhimu na adimu ya kazi. Wakati wa kuripoti ukiwadia, nenda Nzega, kisha utapata mwongozo huko huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother kumbe si mbali sana from town to that areas ni mia ngap au bodaboda mia tano buku jero
Sio mbali sana nawatu wengi wanakaa Nzega mjini wanaenda kusoma Itilo Sec,kwa boda boda ni buku jero..Pia ukiwa njiani ukaomba hata lift ya gari zinazoenda Tabora hice,Kwa dsm mnaita (daladala) unapewa lift bure.Shule haiko mbaali sana na barabalani.Brother kumbe si mbali sana from town to that areas ni mia ngap au bodaboda mia tano buku jero
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa poa naenda kuwasaidia watoto wa mama (WANYAMWEZI)Sio mbali sana nawatu wengi wanakaa Nzega mjini wanaenda kusoma Itilo Sec,kwa boda boda ni buku jero..Pia ukiwa njiani ukaomba hata lift ya gari zinazoenda Tabora hice,Kwa dsm mnaita (daladala) unapewa lift bure.Shule haiko mbaali sana na barabalani.
Mm sio wa DSM HATA KAMA NMESOMA UDSM SIKU ZOTE NTAKUWA MTOTO WA USHETU KAHAMASio mbali sana nawatu wengi wanakaa Nzega mjini wanaenda kusoma Itilo Sec,kwa boda boda ni buku jero..Pia ukiwa njiani ukaomba hata lift ya gari zinazoenda Tabora hice,Kwa dsm mnaita (daladala) unapewa lift bure.Shule haiko mbaali sana na barabalani.
Nenda kafundishe kwa moyo wote Nzega wakalimu mno,pia maisha nimarahisi sana,chumba unapata kwa elfu 15/20 kizuri tu.Maji yakunywa simple sana kuyapata mengi kwa gharama ndogo,ndoo kubwa ya maji sh 100.Pia nimetokeko hivi karibuni ingawa nimekaa wiki 2 sikuona umeme kukatika.
Brother naenda bila wasiwasi nataka nasi tusome bwana nmemshukuru mno Mwenyezi Mungu kwa kunipeleka pale next week waandae misemo"KARIBU MWALIMU WA PHYSICS NA MATH'S""JISIKIE UPO NYUMBANINenda kafundishe kwa moyo wote Nzega wakalimu mno,pia maisha nimarahisi sana,chumba unapata kwa elfu 15/20 kizuri tu.Maji yakunywa simple sana kuyapata mengi kwa gharama ndogo,ndoo kubwa ya maji sh 100.Pia nimetokeko hivi karibuni ingawa nimekaa wiki 2 sikuona umeme kukatika.
Hussen Bashe msaada tafadhali