Nauliza hivi haya mapendekezi yanayozungumzwa kwenye mujadala ya katiba yanafika sehe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauliza hivi haya mapendekezi yanayozungumzwa kwenye mujadala ya katiba yanafika sehe

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by silver25, Jan 26, 2011.

 1. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni muda sasa tangu Raisi akubali mapitio ya katiba ya zaman na Marekebisho au kuundwa kwa Katiba Mpya.. na tokea Raisi katoa Ridhaa hiyo kumekuwa na mijadala mingi sana inayo anzishwa na Wafurukutwa wa Maendeleo ya Nchi yetu ya Tanzania, nchi yenye amani ya Nje na Magongano ya ndani kwa ndani...

  Sasa hofu yangu kubwa ni kwamba Watu wenye akilizao Timamu wanaacha shughuli zao kushiriki katika mijadala hiyo,, ili tu wawaweke aware Watanzania wote asioja kwanini kunahitaji la KATIBA MPYA.. isitokee mapendekezo yanayo Jadiliwa hayafanyiwi kazi jamani

  Kwasababu nchi hii Viongozi wa ngazi ya juu wanapenda sana kujaribu vitu huku wasijue madhara ya vitu hivyo Mfano Maandamano ya Arusha,

  Haya mapendekezo yatafanyiwa kazi jamani
   
Loading...