muda wa ukombozi
Senior Member
- Jun 28, 2013
- 129
- 118
Mjadala mkubwa ni hii hamisha hamisha watanzania toka kwenye maeneo yao ya asili na kuwapeleka ugenini waanze maisha mapya je kabla ya utekelezaji huo walilipwa?
Kama walilipwa naamini utaratibu mkubwa ulifuatwa kwa maana waliandaliwa kiakili, na walitengenezewa mazingira ya kutoathiri mazingira yao ya utafutaji wa mkate wao wa kila siku, ila kama ni kinyume na hapo kwanini iwe hivi na kwanini kwa nguvu kiasi hiki, kufikia hadi wanaokaidi kupitia mazingira magumu hadi wengine kupoteza maisha kwanini hivi?
Kwanini watanzania wavunjiwe nyumba zao? au walishalipwa wakakaidi kuondoka au hayo maeneo sio yao ni wavamizi?
Najiuliza kama kuna yeyote mwenye majibu mujarabu atujuze nasi tupate ufahamu tutoke huku kwenye ujinga wa kuuliza.