Nauliza: Bodaboda na bajaji wana leseni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauliza: Bodaboda na bajaji wana leseni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mataka, Jul 25, 2011.

 1. m

  mataka JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Wadau nimeishi mjini zaidi ya miaka 20 lakini barabara naiogopa, ajali naziogopa usipime sasa najiuliza hawa vijana wetu waliojiajili kwa kuendesha bajaji na bodaboda sheria za usalama barabarani wanazijua kweli kama waendesha vyombo vya moto.? Nahofia sana manake siku za karibun kumezuka wimbi kubwa la vijana wa kijiweni kuendesha hivi vyombo wapo ninaowafahamu nina uhakika hawana leseni. Sielewi upande wa trafik hususan hili swala kwao wanalichukuliaje.
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  asilimia kubwa hawana leseni, mtu anajifunza mtaani wiki 1, anakabdhiwa boda2. Ajali hazitaisha kwa mpango huu. Trafik hawalion hili cjui kwa nini.
   
 3. Money Maker

  Money Maker Senior Member

  #3
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Trafiki mnaotembelea jf mpeni majibu mdau
   
 4. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Tafiti zinaonesha kuwa, dereva mwenye leseni na mzoefu, yuko likely kusababisha ajali kuliko dereva ambaye ni learner!!!. Kwa mantiki hiyo, Hata tukihakikisha Madereva wote wa bodabpoda wana leseni, ajali za bodaboda zitaendelea kuwa palepale. Tatizo hapa ni miundombinu ambayo si friendly kwa uendeshaji wa bodaboda, pia ni neglegence na arrogance ya watu wenye magari towards bodaboda drivers. Hawa vijana hawathaminiki kabisa wakiwa barabarani, simply kwa sababu, knocking a bodaboda waill cause minimum or no damage to the car altogether!!.
  Serikali inatakiwa ihakikishe kuna miundombinu inayo ruhusu uendeshaji wa bodaboda safely, ikiambatana na kuelimisha madereva wote wa bodaboda na Magari juu ya haki na wajibu wa kila mmoja kwa mwenzake!!.
  Nilichogundua ni kwamba watanzania tunapokuwa barabarani upendo wetu kwa mwenzako wa chombo kingine jirani yako huwa haupo na tunakuwa kama wanyama, na ndo maana hata gari kwa gari unaweza ukawa unamuomba mtu uweze kupita lakini anakubania hivihivi, wa kati he or she had nothing to loose angekuruhusu upite.
   
 5. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,286
  Likes Received: 3,018
  Trophy Points: 280
  Nauliza: bodaboda na bajaji wana leseni?
  wapo ninaowafahamu nina uhakika hawana leseni

  Basi jibu tyr unalo...wapo wenye leseni na wasiokuwa na leseni
   
Loading...