Nauli za ndege bila chakula/kinywaji ni muhimu

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,956
Reaction score
3,245
Tumezoea kama tunasafiri kwa ndege Mwanza to Dar, kupewa bite au kinywaji

Sasa katika lisaa au masaa 2, chakula cha nini?

Kuwa na chaguo...watakaopenda bite au kinywaji wanunue cash kuliko kuweka kwenye bei ya ticket

Tutoe maoni ili ATCL ifanikiwe
 
Nadhani hoja yako inaumuhim wa kujadiliwa, mfano mi mwenyewe ninapofanya hizi local trip's kama nitatumia chochote basi si zaidi ya maji hivyo kunahaja ya kutenganisha nauli na gharma za huduma zingine.
 
Tumezoea kama tunasafiri kwa ndege Mwanza to Dar, kupewa bite au kinywaji

Sasa katika lisaa au masaa 2, chakula cha nini?

Kuwa na chaguo...watakaopenda bite au kinywaji wanunue cash kuliko kuweka kwenye bei ya ticket

Tutoe maoni ili ATCL ifanikiwe

karoti na matango
 
Menu ziletwe na watu wachague wanunulie cash kwenye ndege.....

Badala ya kuuza ticket ghali
 
Na chakula katika ndege hufanya nauli ziwe juu!,lakini na abiria wengi ndo kusema ushamba au kitu gani,Fast Jet wanauza vyakula katika flight zao,safari ya saa 1 Dar Mbeya,Dar Mwanza unanunua msosi?..
 
Tumezoea kama tunasafiri kwa ndege Mwanza to Dar, kupewa bite au kinywaji

Sasa katika lisaa au masaa 2, chakula cha nini?

Kuwa na chaguo...watakaopenda bite au kinywaji wanunue cash kuliko kuweka kwenye bei ya ticket

Tutoe maoni ili ATCL ifanikiwe
Mkuu shirika gani hilo maana nimepanda fastjet mara kadhaa sikuwahi kupata hiyo huduma
 
misista du mdio wanongoza kula ovyo mkiwa road.kibaha biscut na appl.chalinze soda na mahindi ya kuchemsha.msata mahindi ya kuchoma.mombo korogwe.ataingia hotelini atakula na kubeba
 
ATCL website is poor compared to FASTJET or Precision
 
Back
Top Bottom