Nauli za daladala Dar es Salaam

Nauli za daladala Dar es Salaam

wa tz waoga sana,..upo ndani ya sheria,.makonda wanavunja sheria alafu baada ya kusimamia haki yako mtu unanungunika na kulalamika,..sasa ulitaka nani akusaidie kukulipia nauli na kupunguza nauli,...usitegemee kiongozi kwakila jambo simamia haki yakooooooo mtz
 
nani kakwamia mimi ni muoga siogopi chochotenimeandika kwa sababu sikuwa na uhakika km nauli imepanda ndo maana
 
Mimi nalipa nauli husika hata kama wakitangaza elfu kumi....cha muhimu ni kuwa na hela kamili mkononi.....

Ishawahi kunitokea maeneo ya makumbusho naelekea zangu mwenge....yule bwege nimempa mia tano yeye kaamua kuchua yote....kila nikimdai salio langu ananiletea lugha za kejeli na matusi ya nguoni....nilipofika mwenge nikaondoka na side mirror
Ndio ikawa tumeshamalizana hivyo....
 
Unachotakiwa kufanya wewe ni kupanda na nauli kamili inayotambulika na mamlaka husika usikubali kupoteza haki yako ukiwasubiri Sumatra ..hata wakitangaza nauli buku wewe panda lipa nauli sahihi uone kama atakufanya kitu!!!..alafu wakati mwingine utakuta MTU ni msomi anaendeshwa na vikonda vya darasa la Saba!!!
 
Big up dada Flora kwa kuleta thread hii. Wanaokubeza ni watoto wadogo hawajitambui achana nao
 
Jaman wakati mwingine tusikubali kutoka nail ambazo si rasmi..kwa mfano...unaanza kutoa nauli zaidi ya iliyopangwa na Sumatra??
 
ITAKUWA IPO LIKIZO AISEE ILA SI SAWA KUPANDISHA BEI KIHOLELA
Tatizo serikali wanaupendeleo kwa Moses Kisena. Kwanza walimpa shirika letu kihuni. Pili wakampa uoendeleo magari yake kwenda popote bila kikwazo. Lakini pia wakatuongezea maumivu watu wa Kigamboni eti lazima upande UDA. Zamani toka Buguruni - Kivukoni ilikuwa 400 tu lakini now lazima uwe na 800. Kutoka Ubungo au Gongolamboto au Mbagala the same but not now. Kama vile haitoshi wamempa tena Rapid Transport ambapo wanatuongezea nauli mara dufu. Kama walivyotangaza. Na kunatetesi hata ulipaji wao wa Kodi ni fraud tupu. Bora nao wapandishe maana upendeleo huu kwa mtu mmoja unatia mashaka. Haya ndio yale ya Home Shopping Centre
 
tuyagomeeeee leo nimesikia serikali imekubali jambo flani kwa hao dart nikapata presha
 
Back
Top Bottom