Nauli za daladala Dar es Salaam

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,256
16,306
Hivi serikali imepandisha lini nauli za daladala?

Ninachokijua mafuta yameshuka bei na nauli ni zile zile cha ajabu kuna daladala zimeongeza 100 nyingine 150, na nyingine 50.
 
Last edited by a moderator:
...yes; sie huku bunju tumeanza kulipishwa 750 toka makumbusho,na kutoka makumbusho mpk tegeta wamepandisha 100,imekua 500,mwanzo ilikua kama utani ila sasa tunaanza kuzoea.
Sijui hiyo serikali ya "kazi tu" iko wapi, watu wanajiamulia,wanafanya wanavyotaka, hawaulizwi na yeyote.
 
Jipu lingine hiloooooo, hii nchi mbaya sana kina mtu anafanya atakalo, wamiliki wa daladala wanapandisha bei wanavotaka wao, wafanyabiashara wa vyakula na wao kila leo wanapandisha bei na huku kwenye pamba ndio usiseme, eti jeans hata ukivaa huwez kusifiwa kama umependeza lakin ukiuliza bei utaambiwa elfu 30 kama utani hivi!!
Chaki zimepanda bei, andalio kwa walimu nalo limepanda bei eti mpaka Attendance register nayo ipande bei????
 
NANI AMEPANDISHA HIZO BE
...yes; sie huku bunju tumeanza kulipishwa 750 toka makumbusho,na kutoka makumbusho mpk tegeta wamepandisha 100,imekua 500,mwanzo ilikua kama utani ila sasa tunaanza kuzoea.
Sijui hiyo serikali ya "kazi tu" iko wapi, watu wanajiamulia,wanafanya wanavyotaka, hawaulizwi na yeyote.
NASHANGAA NA MADALADALA MENGINE YAMEFUTA ILE BEI YA ZAMANI YAMEANDIKA YA KWAO KWANINI LAKINI
 
...yes; sie huku bunju tumeanza kulipishwa 750 toka makumbusho,na kutoka makumbusho mpk tegeta wamepandisha 100,imekua 500,mwanzo ilikua kama utani ila sasa tunaanza kuzoea.
Sijui hiyo serikali ya "kazi tu" iko wapi, watu wanajiamulia,wanafanya wanavyotaka, hawaulizwi na yeyote.
ITAKUWA IPO LIKIZO AISEE ILA SI SAWA KUPANDISHA BEI KIHOLELA
 
Wakomoeni tembeeni zenu kwa miguu.
HAIWEZEKANI KUTEMBEA AISEE HII NJI YA AJABU SANA UTAKUTA GARI INAINGIA KITUONI INATANGAZA NAULI BUKU ILHALI NAULI HALALI NI SH 500 SASA KAMA MTU UMEJIKOKI NA KANAULI KAKO UNAWEZA JIKUTA UNALALA KITUONI SI SAWA KUJIAMULIA KILA MTU AKIA
Makumbusho Bunju now #750
kwanini tena bila uoga wamefuta bei za halali wakaandika za kwao
 
Hivi serikali imepandisha lini nauli za daladala?

Ninachokijua mafuta yameshuka bei na nauli ni zile zile cha ajabu kuna daladala zimeongeza 100 nyingine 150, na nyingine 50.
Hahahahaaaaaa aisee huu mwaka ni wako.....JF wameondoa LIKES zako.....daladala wamepandisha bei.....VUMILIAA UTASHINDA
 
Nenda kitengo husika kama Sumatra, hakiki viwango vya nauli ukiona tofauti wasilisha malalamiko yako. Soon watalifanyia kazi.

nikipata nafasi hiyo ntawacheck sumatra though ni kazi yao kukagua mara kwa mara na huku jf wapo wanasoma ndio maana nikapost kufikisha ujumbe kwa sumatra, kama hujajua nia ya hii post ni mojawapo ya hatua za kufikisha ujumbe sumatra
 
Last edited:
Tatizo hapo inabidi SUMATRA watoe maelezo.

Hakuna nauli iliyotangazwa zaidi ya EWURA kutangaza punguzo la bei ya mafuta.
 
Back
Top Bottom