Ngahekapahi
JF-Expert Member
- May 8, 2012
- 553
- 371
Piga chini
Asisafiri, apige kura kwanza, achague lowasa na UKAWA ndio umpe hela ya ndege
Kaka nipo mjini toka 1990 nmezaliwa hapa hospital ya hindu mabdal
Kaka nipo mjini toka 1990 nmezaliwa hapa hospital ya hindu mabdal
Huyu lazima ni wa upande ule mwingine, wanaprnda kusafirishwa hao!
Hiyo hospitali ya Hindu Mabdal ni mpya?
Mi naijua Hindu mandal tu mkuu
mjini mkuu una maanisha wapi....??? maana mtu unakuta anaishi km 30 huko nje ya dar kasha nae anasema yupo mjini ...
Asisafiri, apige kura kwanza, achague lowasa na UKAWA ndio umpe hela ya ndege
Kaka npo masaki
Inategemea na anavyokujua...Unaweza kwa urahisi gani kutoa hiyo nauli ya ndege?
Kama hajakujua vizuri financially then anaweza kuwa ni limbukeni tu ama kweli hajali.
Halafu haya mambo ya unakutana na binti leo halafu unaanza kumtongoza leo, usishangae sasa the way anavyoturn out to be. Kwa sababu na wewe kwani unamjua hadi uanze kumtongoza? Ukiwa close na mwanamke mambo yatakuja kujiseti tu bila hata nguvu nashangaa bado watu wanakomalia kutongoza na kuomba majibu. Wanapewa majibu hata kuzoeana hamjazoeana eti ndo wanaaanza kuchat! Mapenzi ya zamani hayo....