Nauli ya ndege,jaman nyie wanawake vp

Nauli ya ndege,jaman nyie wanawake vp

mkuu sijaelewa vizuri,naomba unieleweshe ili nitoe mawazo yangu vizuri. anaomba nauli ya ndege yeye ili aje kwako au aende wapi? wewe unaishi wapi na yeye anaishi wapi? huyo dada ni jobless au mfanya kazi?

Atoke dar to mwanza anaenda kwao,mm naishi dar
 
Kitu kinachonishangaza ni kwamba mpaka leo hii formula maarufu hujaijua tu.Anachotaka kwako ni mtonyo tu na si kingine. Nijuavyo mie mapenzi ya kweli hayapo katika series ya namna hiyo.

Mpaka mnafikia hapo kuna mawili huenda yamehusika.
Kwanza, huyo mwanamke hakutaki na anajishikiza kwako kwa ajili ya pesa tu. Na haofii kukupoteza, ndio maana anajiropokea tu. Na usipoangalia ipo siku ataomba umjengee ghorofa.
Pili huenda ukawa we mwanaume ni sehemu ya tatizo, mara nyingi wanaume wanapotaka mademu wakali huingia kwa gia ya mkwanja. Sasa bora uwe nao kweli, lakin kama unazuga tu matokeo yake ndo kama haya. Mwisho wa siku demu anakuona mataw, anakupiga mzinga unakuja kulialia hapa.

Mara nyingi huwa nasema, kabla ya kutafuta demu hebu jishauri unataka demu kwa shuguli ipi?. Kama unataka kwa ajili ya papuchi basi tafuta wa fasta gonga utambae. Ukitaka wa mauzo nenda hata mlimani city wapo masistadu kibao. Wanaopenda show off utawakuta. Kama unataka wa kuoa basi uwe mvulimivu halafu tuache kujikweza.
 
Kua uyaone mkuu. Mjini kuna mademu,wanawake na wake.
 
Wasalaam wanajf,nmekutana na bint trh 14,cku hyo ndo akanipa jibu la ndiyo,bt nlkuwa nmemtongoza kipnd kirefu bila mafanikio,lkn kwny maelezo yake akasema aliongea na mtu akamuulzia unamfaham mtu {Y} jamaa akasema ndio,na akanisifia sana huyo mshikaji
Sasa cku hyo hyo jion ya trh 13 mwez huu ndo akanitext,bas mtu mzima nkafurah sana,nakusema ukweli cku hyo alkuwa anarespond kila nlchomwambia ndo ikapelekea tuonane trh ya kesho yake 14,tukapga story nyng includng kuelezeana background zetu,so cku hyo mtoto akakubali vizuri.



Kinachofanya nilete story hii hapa kwa wanajukwaa,ni kwamba toka cku hyo ya trh 14,huyu mtoto bado anasuasua kwny mawasiliano huku mim nkiwa sharp kiukweli yan mkutumia text na kumpigia sana ,bt smts hapokei cm,yan naweza kumtumia romantic sms bt yy anajibu kawaida mpaka anaboa,lkn bado nmo tu,sasa huyu bint alkuwa anapanga kusafir nextwk so jana ndo akanipigia cm for the first time akiomba hela ya kupanda ndege,so kunavitu nmejiulza:
1. Je huyu dada ana mapnz ya kwel na mm au ndo wale wachunaj tu
2. Ndo tumejuana cku kama sita lkn anataka nauli ya ndege
3. Au anataka kuntumia tuu bas

Wanajf naomben ushaur kwa hili,matusi,kejeri na vijembe ctaki,ila ushaur ni muhimu kama ni mtu sahii kwangu kwan bado cjamjibu chochote toka jana.

Nb sishndw kumpa hela bt its too soon

yan w mpe tu wal hakn tatzo au w hjui kpand ndeg n rha
 
Huyo unae mpenda, yeye ana mapenzi na ndege na hana mapenzi na wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom