Nauli pendekezwa na wakala wa DART

Nauli pendekezwa na wakala wa DART

Hii nchi ya hovyo sana ilikuwa msaada sahiz imekua biashara
 
Watu wanataka wasilipe nauli lakini kwenye bar hawasi
Myie si mnataka maendeleo
Kwahiyo mwenye dardara akisema nauli 100 ataendelea lini
 
Watu wanataka wasilipe nauli lakini kwenye bar hawasi
Myie si mnataka maendeleo
Kwahiyo mwenye dardara akisema nauli 100 ataendelea lini

mkuu je umewafikiria na wanafunzi ???
 
maendeleo yana gharama yake.....hiyo nauli kawaida sana...nchi za watu nauli ya daladala inafika hadi TZS 1,600 per route
 
Jamani tunavichinjio tubadiri fikra za watu....lasivyo coming next year kila mtu atakuwa analia na ugumu wa maisha wakati ndo mda wetu wakufanya mabadiriko.....
 
Hii nchi ya hovyo sana ilikuwa msaada sahiz imekua biashara

Yaani hii inchi ni shidaa...mfano mtu anaishi kibamba au mbezi mwisho anafanya kazi airport anapanda daladala mpaka kimara inapoanzia ruti ya DART, then anapanda mpaka ubungo anashuka anapanda daladala mpaka airpot so inaamana gharama zinaongezeka maana inabidi apande gari 3 badala ya moja.....
 
hahaha piga jibu ambalo magufuli angelitoa kwa wanaosema nauli hizo ni ghali kama ngekuwa hagombei urais au huu ungekuwa sio mwaka wa uchaguzi.
 
Kigamboni mliambiwa kama huna 200 piga mbizi, Hii mtaambiwa piga kwato T11 kama huna hiyo nauli..
 
o89l2xn.png



c c m oyeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom