Nauli inaangalia uelekeo mmoja tu,nao ni juu na hawa politicians wetu hawashituki kwa kufanya hivi maana kun uoga wa kizuzu, 750ths kutoka kimara hadi morrocco terminal mmmmmm hii 750 ND inanitoa Windhoek hadi katima Mulilo, napendekeza tena BOT iendeshwe bila politicians, serikali iuze share zake na ibakiwe na 51%, BOT mpya mandate yake ni controlling inflation, repo rates, kuifanya shilling yetu iwe strong against all major currencies, ningekuwa na uwezo Ths. yetu ningeisimika kwa ZWK au Pula, futa zero zote ibaki 100 note tu,unakwenda BP petrol station unanunua 1L of diesel kwa 23tshs!