Nature Is Sooooo Amazing.....!!!!

Duh its amazing sijui peponi kukoje jamani....anyway acha yufanye amali njema ili tupate makazi mazuri ya kudumu
 
Hapo hata iweje lazima msongo wamawazo upungue so amazing indeed
 
Duh its amazing sijui peponi kukoje jamani....anyway acha yufanye amali njema ili tupate makazi mazuri ya kudumu

.....Lakini, kama Maandiko yasemavyo, “Hakuna aliyeona, hakuna aliyesikia, hakuna aliyewaza, kile ambacho Mungu amekiandaa kwa ajili ya watu wampendao.”
 
Huku bongo wafugaji ndio wanatafuta sehemu kama hizo kulishia mifugo dah!
 
.....Lakini, kama Maandiko yasemavyo, “Hakuna aliyeona, hakuna aliyesikia, hakuna aliyewaza, kile ambacho Mungu amekiandaa kwa ajili ya watu wampendao.”

Kwenye Quran imeindikwa pepo ni mahali azuri sana kuna mabustan mazuri hakuna mfano wake hapa duniani,mito ya maji baridi na ndege wazuri kupita kiasi na kuna wanawake wazuri na uzuri wao haufanani na mwanamke yoyote mzuri chini ya jua wanawake hao wa peponi wanaitwa mahurul-ain
 
Na ndio nilichomaanisha, uzuri wa huko hakuna anaeweza kuuelezea, kama ulivyosema, ni afadhali kutenda mema duniani ambapo tupo kwa muda tu ili tuweze kufika huko nchi ya ahadi.

Ila kwa kweli hizo picha zinaonyesha mazingira mazuri.
 
Ndio mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…