Natural Viagra inaniadhirisha

Palivyokucha ungetafuta dawa ya kukata kuhara.
Siku nyingine jiamini sio lazima utumie ma booster
Mfarijini tu. Demu mwenyewe kamuahidi ataenda kwake. Ila hajaconfirm kama atavua kyupi chake. Haingii ndani,mtakaa kwenye mkeka pale nje chini ya mnazi. Ungeomba mababu zako basi nazi impige kichwani aingie ndani kusikilizia maumivu ukabake huko. Saadeki
 
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
 
Acha porojo... hakuna kitu kinaitwa KUAIBIKA, ni namna unavyochukulia WEWE mwenyewe. Kakuambia nani kuwa ukipiga show mbaya unaaibika? Alikuambia huyo demu wako kuwa umeaibika?

Its all about how you perceive!. Therefore hoja yako naipa uzito wa 0% kwa logic. Hence you scored F!.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ€ͺ Haujakutana na hio hali Mzee mtoto anataka uchomeke alafu Chuma kinagoma kusimama usifanye mchezo na njaa yaan ubongo haujashiba unataka uufanyishe kazi ngumu?

Ni aibu aibu aibu inabidi ule ukifanya hivyo na hio hali ikikukuta mwenzako kashapata mshawasha anakwambia muweke we unamletea habari zako eti haisimami shida nini hujala kitu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ€ͺ

Wewe subiri yakukute kwanza utakavyodharirika yaan unaishia kuitazama tu na walivyowashenzi akishagundua chuma imelala yoo ndio anajifanya amekolea πŸ˜†
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji2957] Haujakutana na hio hali Mzee mtoto anataka uchomeke alafu Chuma kinagoma kusimama usifanye mchezo na njaa yaan ubongo haujashiba unataka uufanyishe kazi ngumu?

Sasa hapo aibu inatoka wapi? Hakuna lolote, ni perception yako na definiton yako WEWE, ya kuaibika. Its how you perceive.

Ni aibu aibu aibu inabidi ule ukifanya hivyo na hio hali ikikukuta mwenzako kashapata mshawasha anakwambia muweke we unamletea habari zako eti haisimami shida nini hujala kitu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji2957]

Sasa hapo aibu inakujaje? Neno aibu ni unavyolitafsiri WEWE binafsi. Mbona normal mno! Hakuna cha aibu wala kaka yake aibu.


Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Idiot...
 
Hakuna kitu kama hicho. Kila mwanaume anayemudu kusimamisha, na hajihusishi na ushoga (kuingiliwa) ni rijali. Futa hiyo kauli. Aibu ni perception yako mwenyewe.!

Acha kujipa presha.!

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Perception? Hivi unaelewa unachokiongea? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Una matatizo acha kujifariji na utagongewa mpaka ujitundike
 
Acheni kuoa malaya.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Haya wewe endelea kupiga mechi bila kula km hujakimbiwa, nazungumzia kula sio habari zako hizo za kubisha bisha unabishia ujinga kutaka ligi za kitoto alafu naweza nikawa nabishana na toto lina miaka 10 limechukua simu ya Mama yake linachat ngoja nikuache maana mitandaoni huku kila mtu anataka kujifanya expert kumbe chenga tu
 
Dawa ni matikiti ndo unahisi mjomba anachomoka anasimama kwa kasi,ila bila kula huwezi mudu tendo la ndoa na sisi tunaofanya tendo la ndoa mara kwa mara yaani huwezi waza kuhusu show ukipewa anytime unakiwasha tu
 
Hapo kwenye kuhara Sasa ndio tiba yenyewe tena shukuru sana maana hayo uliyokula ni kama tiba yanasafisha mwili baada ya hapo unapata energy Moja ya hatari
Wala usiwe na hofu endelea hadi mwili utakapotulia baada ya hapo kula Wala usiahirishe game nenda hivyo hivyo utafurahia show
 
ebo! we jizime data! ila you have been warned bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…