Natural Viagra inaniadhirisha

Siku nyingine jiamini
Sio kujiamini tu unaweza ukajiamini tumboni kumejaa upepo hutoboi yaan aibu utakayoipata utajuta kwanini ulilala na Mwanamke wakati ukiwa haujatia kitu tumboni,

Mwambie ale ashibe karanga, korosho na juice ya nanasi, akimaliza hapo anatulia kidogo anashushia na maji hapo gemu bado kabisa, anavuta ugali wa dona na kuku wa kukaanga Nusu au akiweza mzima kabisa haakikishe amemaliza wote, akitoka hapo anashushia na chai ya tangawizi iliyomixiwa na mdalasini alafu akiwa nasubiri muda usogee sogee kidogo anavuta Samaki mmoja asie na miba hamle haakikishe amemaliza

Hapo anakua ameshiba tayari kwa kwenda kufanya mashambulizi, gemu hio ni anapiga usiku mzima mpaka kunakucha kikubwa tu awe na carton ya maji makubwa Lita 1.6 kwa ajili ya kupooza injini yanakaa maji 6
 
Ni ajabu sana kijana huna uwezo wa tendo alafu unataka madem. Lishe huna alafu unataka ndani ya siku moja ule vitu vikupe nguvu akili yako ikapimwe asee
 
Kuwa makini Kuna vyakula ukichanganya ni sumu utakuja kufa siku Moja,kwa mfano maziwa na samaki,au karanga mbichi na mihogo mibichi nk
Mkuu karanga na mihogo nimekula sana hakuna shida yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…