Wakuu.
Kuna demu nampenda sana. So huku na huku kwa mara ya kwanza akanipromise leo. Maana kuanzia kesho anasepa kwenda chuo.. So leo ntakula kwa mara kwanza. Sasa sitaki kuwaangusha nkasema ngoja nijiweke fresh kwa ajili ya game.
Jana alivoconfirm kuwa leo tunaonana basi nkapitia nyuzi kadhaa za humu, nkajua kumbe kuna viagra za asili kutoka kwenye misosi. Kila mtu akawa anatoa list ya vyakula tofauti tofauti.
Wengine wanasema bamia za kutosha, wengine chai ya tangawizi na mchai chai, wengine vitunguu swaumu, nk.
Nkaona wananichanganya nkaamua kuchanganya kila kitu walichosema. So jana jion nkaenda sokon. Nkanunua bamia, tangawizi, mdarasin, asali, swaumu, tende na habit soda. Ile jion jana nkaadaa mazaga nkachemsha kwa pamoja then nikala.
Weee kuanzia saa tisa usiku nkastuka tumbo linaumaa kichizi.. Nikawa nahara kutoka muda huo mpaka sasa mida ya appointment imekaribia nahara kinoma... Nna wasi wasi nilikamia game then naenda kuaibika kule...