Tatizo wadada sijawahi waona wenye nywele kufika viunoni (tuwatoe watu wa asia huko)
kuna vidada kama vitatu "dada angu akiwa mmoja wapo"
mwaka wa 20 sasa ila nywele iko pale pale shingoni
Rasta ndio kila siku bado mnatumia,sasa kuna faida gani ya nyie kufuga nywele
Natural hair ziwe short za kuchana,ila hizo refu aaaah tunadanganyana tuu