hahahaaaaaaaaaa,atakuwa na allagy na walimbwendeShida ni kuwa OLESAIDIMU alianza kusoma huku akiwa anawawaza walimbwende kichwani
hapo chacha,ukizingatia ulimbende ndio habari ya mujiniLugha tata utatani
nasikia kuna maporomoko huko balaaLakini bysange ulimbwende uko usoni tuu wengi hiki mtongani majanga
hahahaaaaaaaa,basi kutakuwa hivi chuichui>swala>nyasiNa chuichui za kufa mtu
hahahaaaaaaaaaaaaaa,haya bhanaHahahahaaaaa wewe ndo umeuwa kabisa