Natumia vp patch ya tally 7.2

Natumia vp patch ya tally 7.2

MwanzoMwisho

Member
Joined
Aug 11, 2009
Posts
34
Reaction score
0
wakuu msaada wenu nimedownload tally v7.2 na patch yake bt nmeshndwa kujua jinsi ya kuapply patch hhvyo kila niki-open inanidai id na pasword. Help please
 
tafuta tally erp 9...zipo nying online free version na crack zake...nenda torrents sites!
 
wakuu msaada wenu nimedownload tally v7.2 na patch yake bt nmeshndwa kujua jinsi ya kuapply patch hhvyo kila niki-open inanidai id na pasword. Help please

jaribu kuangalia kama kuna document yenye guidelines za kuinstall iyo tally, pitia vizuri folder lote ulilo download kama kuna crack yake au namna ya kuactivate iyo tally7.. ningekushauri kutafuta tally 9 kwani kuna features zimekua upgraded.
 
Watu kwa kupenda vya bure!

mkuu kwa nini ufuge ng'ombe wakati maziwa unapata bure? iyo software ya tally inauzwa kwa matumizi ya kioffice(organization) sasa kama mtu unahitaji kwa matumizi ya binafsi kuna free version for educational purposes that said, sio mbaya kutafuta iyo yakujifunzia ambayo kwenye internet iko free of charge..
 
Back
Top Bottom