Natumaini umepata maksi 10 chini ya 10!!!??

TEKNOLOJIA

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
4,305
2,562
Binti mmoja alikaa nje ya nyumba yao akilia kwa uchungu huku akiwa ameshikilia mguu wake wa kulia.Binti huyo alikumbana kichapo kikali kutoka kwa baba yake baada ya kupata 8/10 kwenye mtihani wake.Mara akamwona ndugu yake wa kiume akiwa anarudi kutoka shule,huku akiendelea akilia na yule ndugu yake akiwa haelewi nini kimempata dada yake huyo mara akamuuliza:

Binti: Unaona huu mguu?baba amenipiga hadi kunivunja mguu kwasababu eti nimepata 8/10 katika mtihani wangu.Najua mwenzangu utakuwa umesalimika kwa kupata 10/10.

Kaka mtu: (hakumjibu,alibaki ameshikwa na bumbuwazi akifikiria baba yake atamfanya nini yeye aliyepata 0/10 ikiwa dada yake mwenye 8/10 amepigwa hadi kuvunjwa mguu)
 
Back
Top Bottom