Natufuta marafiki .

Natufuta marafiki .

Saleh Alli

Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
8
Reaction score
0
Natafuta marafiki wa kuchat nao kwenye mtandao huu wa kike na kiume kuanzia rika 12 to 25 sijali dini gani anayoiamini .
 
Karibu humu kuna aina zote za umri hata ukitaka wabibi!
 
Roger dat saleh usha nipata? Karibu kwenye hili jukwaa?
 
Natafuta marafiki wa kuchat nao kwenye mtandao huu wa kike na kiume kuanzia rika 12 to 25 sijali dini gani anayoiamini .

Hapo kwenye umri ushanikosa, by the way you are welcome!
 
Karibu sana JF ila nadhani ingefaa zaidi kama mada hii ungeiweka katika jukwaa la mapenzi, mahusiano na urafiki kwani jukwaa hili sio mahali pake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom