Natubu dhambi

Natubu dhambi

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,213
Reaction score
9,334
Kama mnavyojua kakaenu maisha yamenifikisha hapa kenya hivyo sina budi coz natafuta life,sasa kama mnavyojua ukiwa mgeni pahali utajulikana tu, basi nilipofika hapa mwanzo nilipata suport kubwa kutoka kwa wanawake sababu wengi wao wanapenda lafudhi ya kitanzania, hivyo nikajikuta napata misaada mingi kutoka kwa wanawake.

Sasa ikatokea nimeanzisha mahusiano na mama mmoja wa kiarabu kanizidi miaka 13 lakini ukimuona ni kama binti wa miaka 18, huyu mama anaishi na binti yake na house girl na mtoto wake wa kiume hakai hapo hivo alinambia nikakae kwake, basi ikatokea siku mmoja mchana kwa bahati mbaya tulipokuwa tunafanya mapenzi yule mama.

Mtoto wake wa kiume akafungua mlango wa chumba cha mamake bila tahadhari akatukuta tupo katikati ya mechi na mamake yupo juu yangu, tulishtuka sana tukajifunika shuka huku yule mama akimfokea kijana wake kwamba atoke nje, mbaya zaidi yule kijana umri tunafanana, kila nikikumbuka roho inauma sana, sasa hivi nimeachana na yule mama na nimehamia kwangu. Mungu anisamehe na kesho naenda Kanisani.
 
Haaaaaah pole sana but kwani kuna tatzo gani "the truth is innevitable" but let the game continue hilo ni shushu la hataree endeleza mchezo tuu
 
Haaaaaah pole sana but kwani kuna tatzo gani "the truth is innevitable" but let the game continue hilo ni shushu la hataree endeleza mchezo tuu

hapana ndugu, ile siku imeniathiri sana kisaikolojia
 
Pole sana kwani huko hakuna places kama maisha club ama ambiance..!? Nenda place kama hizo usikilize live bands and music to let life go on

huku zimejaa kila pahali,uliza mtu aliefika hapa akuhadithie kuhusu club casablanca, hadi pitbul huwa anakujaga kujiachia hapo akaamua kupatungia nyimbo ya casablanca in mombasa
 
huku zimejaa kila pahali,uliza mtu aliefika hapa akuhadithie kuhusu club casablanca, hadi pitbul huwa anakujaga kujiachia hapo akaamua kupatungia nyimbo ya casablanca in mombasa

Poa sana nliambiwa mamanzi wa huko mchele sana yaani kugegeda kama kunawa mtoni..! But wanawake wa huko wana asili ya may weather ya kupiga wanaume.! Haaaaaa haaaaaah
 
Ushajulikana kama wewe ni baba. Usikimbie majukumu sasa.
 
Unahisi ukifanya nini ndio utapata peace of mind? Kwa Sababu haikua kosa lako, ni Ajali, je huyo mama unahisi Au bado unaendelea nae? Umeridhika na yeye au unafanya Kwa sababu Ya ugumu wa maisha?
 
Ungemtafuta huyo kijana kwa ustaarabu na kumueleza unavyoumia
na kwama unaomba akusamehe..ulikuwa mjinga tu
na mapenzi na mama yake yalitokea tu sio kwamba ulikuwa unajifanya kidume
na unaomba atafute kwenye moyo wake akusamehe....
 
nimemtafuta nimemuomba msamaha yule kijana,pia nimempatia pesa nyingi sana,halafu nimehama na nyumba ya yule mama
 
nimemtafuta nimemuomba msamaha yule kijana,pia nimempatia pesa nyingi sana,halafu nimehama na nyumba ya yule mama

Kumpa pesa ni 'kununua msamaha'
ulipaswa kuomba msamaha hadi roho yake iridhike
hapo masuala ya kusaidiana ndo yangefuata
 
Poa sana nliambiwa mamanzi wa huko mchele sana yaani kugegeda kama kunawa mtoni..! But wanawake wa huko wana asili ya may weather ya kupiga wanaume.! Haaaaaa haaaaaah

haswa wakigundua wewe ni mtz,watakusumbua sana, sie wengine tukiwa sinza mademu hawatutaki ,lakini tukiwa huku ni kama celebrity flani hv
 
haswa wakigundua wewe ni mtz,watakusumbua sana, sie wengine tukiwa sinza mademu hawatutaki ,lakini tukiwa huku ni kama celebrity flani hv

Haaaaaaaah haaaaaaah hiyo ni poa sana..! Soo kila ukipita road unaitwa Mtz.! Itabidi niwe nakuja huko nkipata likizo nije kula ngamia koz bata wachafu sana
 
Kumpa pesa ni 'kununua msamaha'
ulipaswa kuomba msamaha hadi roho yake iridhike
hapo masuala ya kusaidiana ndo yangefuata

ndugu nimeathirika sana kisaikolojia kwa muda mrefu tangu lilipotokea tukio lile,hata masuala ya mahusiano najihisi staki tena
 
Back
Top Bottom