Natongozwa sana na wadada Instagram

Natongozwa sana na wadada Instagram

mkuu mie nikiona umenijibu nafurahi maana najua nachambwa
Please grow up halafu muda wa kula huu naomba ule tafadhal
Chakula yake mbona inafahamika uyo,
Ni Moto na kilainishi TU keshashiba tayar
 
Hamna kitu mule, James delicious wa jf uyu. Sio mwenzetu kabisa uyu.

kingereza Cha miez 2 kwa RAS SIMBA kwa ajili ya kuombea mikuyege kwa vibabu vitalii vya kizungu coco beach
Hapa tunachambana na bangi, mtoa mada Yuko high, tumsubirini asubuhi akili ikirudi
 
Hamna kitu mule, James delicious wa jf uyu. Sio mwenzetu kabisa uyu.

kingereza Cha miez 2 kwa RAS SIMBA kwa ajili ya kuombea mikuyege kwa vibabu vitalii vya kizungu coco beach
It's all about symmetry and attractiveness, no chance.
 
May be u could check with your doctor before u are doing anymore surgeries
Surgery ipi nyau wewe,
kaanze kwanza Wewe kutolewa icho kinyesi kwny fuvu unaetuletea Nyuzi hazina mbele Wala nyuma

IMG_20210929_172911.jpg
 
Hamna kitu mule, James delicious wa jf uyu. Sio mwenzetu kabisa uyu.

kingereza Cha miez 2 kwa RAS SIMBA kwa ajili ya kuombea mikuyege kwa vibabu vitalii vya kizungu coco beach

naomba tumsamehe mkuu
Sio vzuri kubishana na wakaka wadada eti
Tutapata dhambi
Mimi sipo
 
Hapa tunachambana na bangi, mtoa mada Yuko high, tumsubirini asubuhi akili ikirudi
Uyu hatakiwi kupewa pumz,
Ni bampa to bampa mpk akaazimishe dictionary nyingine, Maana hii LAZIMA iishe misamiati leo
 
Uyu tumepigwa,
Hamna mwanaume apa.

Wenye kilainishi waliokaribu wakaokoe jahazi uko kwa mtoa mada

Tunajaza servers tuu za Max hapa
Naomba mjadala uishie hapa
Kuna mtu nshamtuma kwa mtoa mada ndo anaenda kumshughulikia
One man down!
 
Back
Top Bottom