Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,815
- 10,703
Naona mtoa mada kaamua kuonesha UBABE kwenye Uzi kwa kuongea kingereza
Amenikumbusha enzi za hizo ofisi flani wabongo ndo walikua waongeaji mno,
Mwenyekiti siku akitaka kupunguza idadi ya maswali kikao kiwe kifupi zaidi,
Anaamua kuendesha kikao kwa kingereza![]()
Leo naona kakosa bundle la Instagram kaona aje kutuzingia na kingereza chake cha kuombea maji pumbafuuuu


