"Natoa"

hahahhahahahahah mchezo gani huo ili nami nichekecheke kazini!
kuusikia tu umeshaanza kucheka,usijali ukame ukizidi ntakufata hukohuko Kariakoo sijui mwananyamala nawe ucheke kazini lol!
 
kuusikia tu umeshaanza kucheka,usijali ukame ukizidi ntakufata hukohuko Kariakoo sijui mwananyamala nawe ucheke kazini lol!
hahahahahhah kumbe kucheka kwenyewe kama huku....mwananyamala utakula roba ya mbao unenge wote uishe,huku tuachie wenyewe!
 
toa tu uchafu huo....unamuonesha nani mstari wa ikweta?
 
hahahahahahhahahaha tunajuana hata ukiiga swaga tunajua siwetu huyu!
Nimepita hivyo Tandale kwahiyo Mwananyamala cha mtoto tu,kuna majita wa Temeke ndie alitufundisha staili hii miaka ileee na kutuonesha inafanya kazi akatutembeza magomeni mpaka faya saa 7 usiku roho zinadunda watoto wa uzunguni lol!
 
acha uongo wewe si useme tu kuwa kuna msaaada wa mchina hapo........ umeumbika eti weka sura basi tuone kama inauhusiano na mchina huyo wa ma......kalio
 
hata mie mwenzangu, nikajisemea kulikoni tena, wenzake tunahamia airtel

Nilipatwa mshitukoo kwa kuona hiyo head ya kichwa cha habari...nikaja na ule wimbo wa zuwena wa Paul(remix), nilipatwa mshutukooo.....sio mwanamuziki mie
 
Hivi huyo ni mnene au ana makalio manene au ana makalio makubwa?
Hivi hayo hayawezi kusababbisha Kisukari na mapresha presha hivi??!!!

Two different thing mkuu...mwanamke mwenye makalio au makalio ya mwanamke...huyo ni ile ya kwanza...
 
usitoe bana , vaa suruali inayokutosha vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…