hata mie mwenzangu, nikajisemea kulikoni tena, wenzake tunahamia airtelmi nilifikiri unatoa hiyo Nyung'u!!!
alaaaa!!!!!!
vuta juu hiyo nguo yako....ndo majaliwa yako hyo mama!Ndiyo ni kweli natoa!!
Natoa avatar yangu kuanzia kesho maana naona vijino pembe wamezidi kuniandama na kunitumia pm nyingi sana. Pia naona akina Speaker, Okada, Asprini na wengine wananisakama kwamba nitoe vile haiendani na maadili. Kwa hiyo jamani mnivumilie kidogo, Kesho nitatoa.
Nawasilisha
hata mie mwenzangu, nikajisemea kulikoni tena, wenzake tunahamia airtel
Mwanzo tulikuwa wapi?? (nimekunong'oneza ujue, usisome kwa nguvu!!)hata mie mwenzangu, nikajisemea kulikoni tena, wenzake tunahamia airtel
Hivi huyo ni mnene au ana makalio manene au ana makalio makubwa?vuta juu hiyo nguo yako....ndo majaliwa yako hyo mama!
hivi huyo ni mnene au ana makalio manene au ana makalio makubwa?
Hivi hayo hayawezi kusababbisha kisukari na mapresha presha hivi??!!!
hayo inabidi uwe na chupa kuuubwa la poda!Hivi huyo ni mnene au ana makalio manene au ana makalio makubwa?
Hivi hayo hayawezi kusababbisha Kisukari na mapresha presha hivi??!!!
Tunahamia airtel mimi na family nzima wewe je?unahamia????????
Tulikuwa huko ila tumeona hakuna dili tumehamaMwanzo tulikuwa wapi?? (nimekunong'oneza ujue, usisome kwa nguvu!!)
Un proportionalha haa haa
kuna movie ya ice cube ya berbershop
alisema tofauti ya big ass na ass that is big....
Hii ni ass that is big lol
tunahamia airtel mimi na family nzima wewe je?
Kaka unitake radhi tafadhali,, nani kasema hii ni biashala? Na hilo swali lingine nimeshalijibu zaidi ya mara 100 hapa. Hiyo si avatar tu bali ni mimi mwemyewe. Kwanini niweke ya mwingine wakti Allah ameniumba nikaumbika? Najiamini sana kwa taalifa yakoHe nilikuwa sijakuona.... Swali la kwanza hiyo ni avatar au wewe mwenyewe???????? La pili hii biashara umeikatia kibali?????
na mie pia au?mlikuwa huko?
Mie zantel miaka yote lol
hayo inabidi uwe na chupa kuuubwa la poda!
hahahahaahahahahahahahah khabar ndo hiyo!Hahahahahaa!!!!
sasa nyie dada zangu siwaelewi kabisa!!
Poda usoni.........poda kwenye makalio tena???!!!
mhhhhh!!jibu lako tu mtoto wa kikeKaka unitake radhi tafadhali,, nani kasema hii ni biashala? Na hilo swali lingine nimeshalijibu zaidi ya mara 100 hapa. Hiyo si avatar tu bali ni mimi mwemyewe. Kwanini niweke ya mwingine wakti Allah ameniumba nikaumbika? Najiamini sana kwa taalifa yako