kipindupindu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 1,054
- 170
kuna watu maarufu kama MS wamezoea ban,sitaki waione!wewe ni pm uchukue zawadi yako.Imwage hapa hadharani.
Ni kweli hicho kipindupindu kaa nacho mwenyewe na hao Nzii wako wawili kaa nao na hiyo Password humpati Mtu humu ndani n'goooooooAcha kujipigia promo mkuu nani anataka password ya kipindupindu ?
promo ndio nini?Acha kujipigia promo mkuu nani anataka password ya kipindupindu ?
naendelea kupokea PMs wewe endelea kuzubaa tu na majungu yako.Ni kweli hicho kipindupindu kaa nacho mwenyewe na hao Nzii wako wawili kaa nao na hiyo Password humpati Mtu humu ndani n'gooooooo
usilogwe unitumie mimi hiyo password yako hutaiona tena hii jamii forums kama unabisha jaribu nitumie kwa njia ya P.M.promo ndio nini?
naendelea kupokea PMs wewe endelea kuzubaa tu na majungu yako.
mkuu umeipata??usilogwe unitumie mimi hiyo password yako hutaiona tena hii jamii forums kama unabisha jaribu nitumie kwa njia ya P.M.
sijaipata mkuu tuma tena?mkuu umeipata??
Hawezi kuitoa hiyo passwordhaya mkuu, imwage hapa jamvini.
Hana mpya huyu kipindupinduKwani hiyo psw ina umuhimu gani?? nadhani mimi sijaelewa.
nimeamua kutoa password yangu ya jf kwa member waaminifu.sharti ni moja tu:usiwe umepigwa ban kwa muda wa miaka miwili iliyopita.hii ni zawadi katika sikukuu ya idd el hajj.
ni pm ujipatie password.nawatakia sikukuu njema!!
nimeamua kutoa password yangu ya jf kwa member waaminifu.sharti ni moja tu:usiwe umepigwa ban kwa muda wa miaka miwili iliyopita.hii ni zawadi katika sikukuu ya idd el hajj.
ni pm ujipatie password.nawatakia sikukuu njema!!
Hawezi kutoa huyo Password yake hapa hahahahahahahahahahahhebu lete hapa PIN number yako ya ATM, pia leta na kadi. Bwana wa benki ataziongeza hela zako maradufu