Natoa onyo kali kwa wale wote wanaomnyemelea mke wangu cacico

mmmmmh, mimi kama kawaida yangu, kila siku kuchelewa.......... haya basi wameshamwacha mkeo Young_Master?
ushauri tu, deal na huyo mkeo ndani, ukianza kuwasakama akina babu Asprin, Bishanga, Mentor, Erickb52, kesho onyo litaenda kwa akina The Boss, Baba_Enock, ......, next time ......... si mwisho utagombana na wakaka wote humo ndani?
Fixed Point, na jinsi ambavyo ukiwauliza watu wote jukwaani watakuambia mentor ndo mkaka mpole na mstaarabu kuliko wote.
Si ndiyo cacico? eti babu Asprin...
 
Last edited by a moderator:
kwanza ile pm ya juzi uliyonitumia, bado kdg ilete tafrani, Mentor taratibu basi, kha!

Aah cacico, mimi je??! yani nimeshindwa ata kwenda on dates since u occupied my mind and heart..yet i know u r married...m so stressed! so na wewe uifeel tu kidogo...
 
Last edited by a moderator:
Aah cacico, mimi je??! yani nimeshindwa ata kwenda on dates since u occupied my mind and heart..yet i know u r married...m so stressed! so na wewe uifeel tu kidogo...
Mentor nakuona ujue. ohooooo!!! ntakugeuza kuwa lunch...Shauri yako.
 
Last edited by a moderator:
Mentor nakuona ujue. ohooooo!!! ntakugeuza kuwa lunch...Shauri yako.
Young_Master, kaka huoni ni jinsi gani ninavyomuongelesha kwa heshima mrembo cacico!??
ukinzingua mi ntaanza kampeni ya kuipindua ndoa...badala ya kukaa insecure u shud b working at pampering n loving ur wife bana..she s jus soooo...oh cacico..unautesaje moyo wangu wewe!!!!
 
Last edited by a moderator:
Si lile deni la siku ile lile, kwani umesahau kama ulinikopesha sambusa siku ileee!? Au umenisamehe deni etiee?? Halafu Young Master ni mwerevu sana wala hawezi fanya hivo,,,, lakini hata akiuacha si tutananiliu tu? Si ndio ee cacico!!!!

mmmhhh! Jamani nikipewa talaka utanioa?? Mnapenda tu kutubeba tukiwa kwa waume zetu, vikinuka weeee hatuwaoni! Jamani deni gani tena kha!?
 
Last edited by a moderator:
hamna shida SALOK ila naomba uende na hii camera ili nione kila kitu mnachokifanya.

hatuaminiani siku hizi mpaka umpe makamera atembee nayo? Hujui mie cacico ni binamu yangu kabisa yaani babaake na mamaangu tumbo moja kabisa! Binamu cacico hujamtambulisha mmeo?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom