Vibaraka wa Ontario mtapat taabu san a mwaka huuEee tupo mkuu.... It depends on how unamdefine tapeli
Umeshafutwa labda,Mimi siielewi hii kitu,hebu ni PM nijuhoji kidogo nipate mwangaKila nikiweka uzi unafutwa acha nione na huu...
We sho ga kumbe upoHiyo ni hatua ya awali ya kutapeli watu kwani boss wako Ontario alianzaje.usitufanye wajinga sisi kijana
Nakuhakikishia utapeli hautakufikisha popote rudi shamba kapige kaziWewe ndio umeamua kujifanya mjinga....
Unaweza kuanzisha uzi wako wa matikiti... hakuna aliyekukatalia mkuu .Sisi yetu matango na matikiti, tuleteeni mada za kulima matango, mapapai, embe, matobolwa nk. Hivi Mengi, Bakhresa, Dewji wamo humo katika forex. Kama wamo na mimi nijiunge sasa hvi
Sasa kuna haja gani ya kuanzisha uzi, si tuta google tu hayo mambo?.Bando si unalo mkuu... google... majibu yote yapo huko
Akili yako ndogo sana ww.... haya kauze chapati mkuu....Sasa kuna haja gani ya kuanzisha uzi, si tuta google tu hayo mambo?.
Tafuteni kazi watu washatapeliwa sana wamechoka. Kama hiyo forex inalipa sana sidhani kama Bakhresa angeuza chapati