Tuna develop website (from the scratch) kwa bei rafiki zaidi
Tunatoa ushauri kuhusu Software Na Tech stack ipi inafaa kwa biashara, idea au website yako (free)
Pia tunatoa online tutorials kwa wale wanaotaka kujifunza Web design na Web development kwa mda waokKwa gharama ya 40,000 Tsh kwa mwezi tu.Hakika.Karibu kaka, japo niliutelekeza huu uzi kidogo kwa mda, ila ninapoona comments zenu napata hamasa ya kuendelea zaidi
Visual Studio ni choice ya developers wengiHakika.
Kwa kukudokeza, nilikuwa napata shida kufahamu Text Editor nzuri.
Nimetumia Notepad, Notepad++, Sublime Text, nilikuwa mbioni kuanza kutumia Brackets.
Kutokana na bandiko lako, nimepata kuifahamu Visual Studio.
Nimeifuatilia zaidi, inaonekana ni nzuri sana.
Again, ahsante sana mkuu.
Pamoja mkuuVisual Studio ni choice ya developers wengi
Safi kwa kuijua....
... sina diploma wa degree 
Hongera sanaSomo zuri mkuu!! Bado najifua kuwa frontend web developer ... html na css nazikazia kazia java script ndo nimeanza... sina diploma wa degree
![]()