Budget itaendana na sehemu unazotaka kwendaNakuja PM kijana. Mwezi wa 10 nataka kuja Zanzibar.
Nitatokea Dar, nitakaa nights 2, na days 3 nitataka kuzunguka sana hapo Zanzibar, ila budget isiwe kubwa.
Kwa manufaa ya wengine utaweza nipangia route na estimated budget?
Au nije PM?
Nakuja PMBudget itaendana na sehemu unazotaka kwenda
Route zipo nyingi sana ni wewe tu unataka kwenda wapi
Fumba town kwa bakhresa!
Kizimkazi kwa Mama Samia!
Stone town hapa ukitaka kufaidi utembee kwa mguu
Yani inshort route zipo ni ww tu
Mturushie picha jamani na sie tutamani kuja😊Nakuja PM
Nikifanikiwa nikaenda, nitaleta feedbackMturushie picha jamani na sie tutamani kuja😊
Safi sana..naisubiri,maana December ina mambo mengiNikifanikiwa nikaenda, nitaleta feedback
Kwa upande wa Malazi guest nzuri kwa huku bei yake ni 35kFafanua ata rough bajeti mtu awe na kiasi gani akija huko, maeneo ya kawaida kula na kulala kwa night mbili inakuwaje?
Usafiri wa kwenda visiwani pia ni suala la kuorganize tu linawezekanaimeka ugwede hii. nilifika zenj mara 1 bado nataman kuja tena.nilifika prison island nilipapenda
Hotel ambapo naweza pata kwa ajili ya familia mtoto mmoja wa kiume na mke wangu tu itagharimu kiasi gani ?Kwa upande wa Malazi guest nzuri kwa huku bei yake ni 35k
Usafiri wa kuja Zanzibar kwa boat ni 30k kwa economy class na 65k kwa Business class na 150k kwa VIP class
Kwa usafiri wa ndege kutoka dar kuja Zenji ni 150k
Ukitaka hotel bei ya chini ni 50k inshort bei za malazi hazitofautiani sana na huko bara
Kwa upande wa chakula inategemea na ww ulaji wako ila kwa Zanzibar vyakula ni bei kidogo kulinganisha na bara bcz vyakula ni imported from Bara
Mfano kwa safari ya Nungwi from town usually ni 80k pia maelewano yapo
Ukichanganua hizo gharama hapo utaweza kujua kua unaweza kujipanga kwa kiasi gani na safari ya Zanzibar
Kwa ambaye hatujawahi kuja Zanzibar embu tuambie kuna nini cha maana sana hapo Fumba kwa bakhresaFumba town kwa bakhresa!
Kizimkazi kwa Mama Samia!
Kwa bei za hoteli nilishasema kua chumba cha bei ya chini ni Elfu 50 sasa apo itabdi mchukue vyumba viwili ambavyo ni laki mojaHotel ambapo naweza pata kwa ajili ya familia mtoto mmoja wa kiume na mke wangu tu itagharimu kiasi gani ?