Masikini mjanja
JF-Expert Member
- Oct 13, 2017
- 232
- 381
wacha kuchekesha, umenikumbusha nyimbo ya YAMOTO BANDWewe ni mmojawapo unahitaji sana elimu ya ujasiriamali.
Kinacho fundiahwa ni jinsi ya kuboresha mapenzi.si kweli mkuu,kupenda unaweza kufundishwa,waulize wale waliokua wana maumivu ya moyo,either kutokana na kuachwa au kushuhudia uovu kwa wanandoa,kuna counselling/therapy kibao zinafanywa kuurudisha moyo na kuanza kupenda tena.Huoni jukwaa la MMU linasaidia watu?lol
wacha kuchekesha, umenikumbusha nyimbo ya YAMOTO BAND
kwamba UNA NINI? Nina Rambo
Wewe uko levo gani? anza kuelezea biashara yako
Kila mtu kudown load mafundishilo na kuweka hapa inawezekana.
kabla hujaaanza elezea wewe unafanya nini?
Kuna watu huwa wanasema wanatoa elimu za ujasiriamali ila wao hata kumiliki kibanda cha kuchajia simu wanaogopa
kinacho fundishwa ni Enrepreneurship skills sasa shida yenu mnachanganya mpaka basiUjasiriamali ni somo kama masomo mengine, lina misingi yake.
Dada I say kama huna passion asikudanganye mtu.,kuna wengine hawajui kutumia mitandao na hapa JF ndipo mahali pa kujifunza.......
kwa nini umekuwa negative kabla hata hajaandika neno ?? mkuu uko poa????
akikujibu nipigie simuMkuu samahani wewe unamiliki biashara? Na je ni micro, small, medium au large? Bila shaka kama umepitia SMEs utakua umenielewa, na kama ndio unamiliki biashara ni ya namna gani na una muda gani katika hiyo biashara?
Nasema hayo sababu nipo pande zote wakati nipo chuo nilisoma ujasiriamali kwa upana ukijumlisha na hiyo SMEs na pia kumiliki biashara na what I know waalimu wengi wa ujasiriamali ni theory tupu hawana courage ya kumiliki biashara from the scratch and see it growing...
Sasa wewe upo kundi gani?
Kinacho fundiahwa ni jinsi ya kuboresha mapenzi.
Hivi nikuulize unaweza kwenda kozi ya jinsi moyo wako utakavyo funguka umpende Jeni?
Let say umeambiwa sasa tunakupeleka chuo na ukihitimu basi lazima umpende Jeni
The point anayoiainisha ni kuwa somo la ujasiriamali probably wengi sana tumefundishwa, let's assume kila mwaka wanafunzi zaidi ya laki 4 wanafundishwa ujasiriamali ila out of all yawezekana hawazidi hata 100 ambao wanajiajiri ndio maana hata hao lecturers waliotufundisha ujasiriamali vyuoni wao wenyewe wameajiriwa na hizo taasisi wanakinga mkono kila mwezi mshahara then wanatufundisha kujiajiri "nonsense"... Kufundishwa ujasiriamali ni jambo moja ila passion ya kufanya ni jambo lingine... That's why nimemuuliza mleta uzi hapo juu anipe majibu yeye yupo kundi ganimmmmmmmmm counsellours na ma therapist wanafundisha kupenda tena,mkuu jiongeze ...........
chuo cha mapenzi hakuna(may be kipo somewhere,lol)....ila mbona hujiulizi vyuo vya biashara vipo mamilioni while vya mapenzi hakuna? hii ikupe picha kuwa unalinganisha vitu tofauti...
siwezi kuelesa sana, ila ni kwamba hata ukiwa Made still lazima itoke rohoni mwako.
Passion.passion inatoka moyoni mwako kama huna ni haiwezekani.
watu nyie mnachanganya business skills au Entreprenership skills na Entrepreneurs.
Usichanganye kamwe vitu hivi
-Business skills/ Entrepreneurship skills
Na Entrepreneurs
Wajasirimali hawazaliwi ila kuna watu wana sifa za ujasirimali.wacha kuchekesha, umenikumbusha nyimbo ya YAMOTO BAND
kwamba UNA NINI? Nina Rambo
Wewe uko levo gani? anza kuelezea biashara yako
Kila mtu kudown load mafundishilo na kuweka hapa inawezekana.
kabla hujaaanza elezea wewe unafanya nini?
Kuna watu huwa wanasema wanatoa elimu za ujasiriamali ila wao hata kumiliki kibanda cha kuchajia simu wanaogopa
nikujibu kwa mala ya mwisho. wacha kuchanganya kati ya Entrepreneurship skills au Business skills na Entrepreneursmmmmmmmmm counsellours na ma therapist wanafundisha kupenda tena,mkuu jiongeze ...........
chuo cha mapenzi hakuna(may be kipo somewhere,lol)....ila mbona hujiulizi vyuo vya biashara vipo mamilioni while vya mapenzi hakuna? hii ikupe picha kuwa unalinganisha vitu tofauti...
jubu wewe unajihusisha na nini? wafundishe business skills na sio kuwa wajasirimali.Wajasirimali hawazaliwi ila kuna watu wana sifa za ujasirimali.
Siasa hata katika elimu, du taifa hili!!
Baada ya kufundishwa wengi wao wako wapi?ina maana wanaofundishwa vyuoni somo la biashara,wanapoteza muda?lol
Mkuu samahani wewe unamiliki biashara? Na je ni micro, small, medium au large? Bila shaka kama umepitia SMEs utakua umenielewa, na kama ndio unamiliki biashara ni ya namna gani na una muda gani katika hiyo biashara?
Nasema hayo sababu nipo pande zote wakati nipo chuo nilisoma ujasiriamali kwa upana ukijumlisha na hiyo SMEs na pia kumiliki biashara na what I know waalimu wengi wa ujasiriamali ni theory tupu hawana courage ya kumiliki biashara from the scratch and see it growing...
Sasa wewe upo kundi gani?
Nisaidie kutofautisha kati ya business skills na ujasiriamali. Hakika wewe ni mmoja wa wasiojua tofauti ya ujasiriamali na mjasiriamali, hivyo unahitaji kuelimishwa.jubu wewe unajihusisha na nini? wafundishe business skills na sio kuwa wajasirimali.
The point anayoiainisha ni kuwa somo la ujasiriamali probably wengi sana tumefundishwa, let's assume kila mwaka wanafunzi zaidi ya laki 4 wanafundishwa ujasiriamali ila out of all yawezekana hawazidi hata 100 ambao wanajiajiri ndio maana hata hao lecturers waliotufundisha ujasiriamali vyuoni wao wenyewe wameajiriwa na hizo taasisi wanakinga mkono kila mwezi mshahara then wanatufundisha kujiajiri "nonsense"... Kufundishwa ujasiriamali ni jambo moja ila passion ya kufanya ni jambo lingine... That's why nimemuuliza mleta uzi hapo juu anipe majibu yeye yupo kundi gani
Point moja niweke Sawa maybe wengine hawaelewi "mjasiriamali hazaliwi ila anatengenezwa" whether kwa kufundishwa, kukulia familia ya wajasiriamali like "wachaga" au mazingira aliyopo yanamshape mtu ila sipo kumpinga mleta uzi ila ingepaswa ajitanabaishe kiufasaha kuhusu wasifu wake, amekomaa vipi katika ujasiriamali "kwa vitendo" na si kuleteana theories ambazo zimejaa nyingi huko Google... Wasifu wa mtu waweza mvuta mtu kuwa interested kujifunza kitummmnh kwa nini sasa mlifundishwa na msiachwe naturally kuwa ma entrepreneur???ina maana mtu anaenda chuo kusoma course asiyo na passion nayo??? mkuu point yenu ni nini?hapa JF ni sehemu pia ya kujifunza,mwacheni adownload,wengine wasiojua ku download watajifunza hapa.........