Mimi nipo tayariJe, ni wangapi humu wagependa somo la ujasiriamali?
Najiandaa kuandaa somo hilo, humu jamvini, hasa kwa wamiliki wa biashara ndogondogo na wajasiriamali.
Somo litahusu taratibu mbalimbali muhimu zinazohitajika kuandaa na kusimamia biashara ndogo.
Natayarisha pia, mwongozo utakaoelezea hatua sahihi za kutengeneza mpango kazi wa kujenga na kuimarisha biashara, ikiwa ni pamoja na matumizi sahihi ya masoko ya mtandao na kuandaa mikakati ya usimamizi bora.
Nasubiri mahitaji kutoka kwenu wanaJF.
mkuu sema unaandaa somelo la elimu ya biashara na sio ujasiriamali.Je, ni wangapi humu wagependa somo la ujasiriamali?
Najiandaa kuandaa somo hilo, humu jamvini, hasa kwa wamiliki wa biashara ndogondogo na wajasiriamali.
Somo litahusu taratibu mbalimbali muhimu zinazohitajika kuandaa na kusimamia biashara ndogo.
Natayarisha pia, mwongozo utakaoelezea hatua sahihi za kutengeneza mpango kazi wa kujenga na kuimarisha biashara, ikiwa ni pamoja na matumizi sahihi ya masoko ya mtandao na kuandaa mikakati ya usimamizi bora.
Nasubiri mahitaji kutoka kwenu wanaJF.
Hali gani iyo mkuu tujulishanemkuu sema unaandaa somelo la elimu ya biashara na sio ujasiriamali.
Ujasiriamali ninavyo kua haufundishwi kamwe ujasiriamali ni hali fulani,
wanasema Ujasiriamali ni spirt ni passion kutoka moyoni mwa mtu mwenyewe, usha wahi fundishwa kupenda?Hali gani iyo mkuu tujulishane
Kumaliza ukweli mkuu kama maelekezo yako yanavyoelezawanasema Ujasiriamali ni spirt ni passion kutoka moyoni mwa mtu mwenyewe, usha wahi fundishwa kupenda?
Basi kama ilivyo kwamba huwezi fundiswa kupenda basi na ujasiriamali ni hivyo hivyo
Mjasiriamali can bê born or made,kuna wajasiriamali wanatengenezwa na wameweza kufanya vizuri sana. Mtoa mada nadhani anataka kuwaongezea mbinu wajasiriamalimkuu sema unaandaa somelo la elimu ya biashara na sio ujasiriamali.
Ujasiriamali ninavyo kua haufundishwi kamwe ujasiriamali ni hali fulani,
wanasema Ujasiriamali ni spirt ni passion kutoka moyoni mwa mtu mwenyewe, usha wahi fundishwa kupenda?
Basi kama ilivyo kwamba huwezi fundiswa kupenda basi na ujasiriamali ni hivyo hivyo
siwezi kuelesa sana, ila ni kwamba hata ukiwa Made still lazima itoke rohoni mwako.Mjasiriamali can bê born or made,kuna wajasiriamali wanatengenezwa na wameweza kufanya vizuri sana. Mtoa mada nadhani anataka kuwaongezea mbinu wajasiriamali
siwezi kuelesa sana, ila ni kwamba hata ukiwa Made still lazima itoke rohoni mwako.
Passion.passion inatoka moyoni mwako kama huna ni haiwezekani.
watu nyie mnachanganya business skills au Entreprenership skills na Entrepreneurs.
Usichanganye kamwe vitu hivi
-Business skills/ Entrepreneurship skills
Na Entrepreneurs