NATO wakataa ombi la Ukraine

bernard10

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2021
Posts
410
Reaction score
732
NATO wamekataa ombi la Ukraine la kuziomba nchi za NATO kuweka "the no fly zone" nchini Ukraine.

No fly zone ikimaanisha mpango wa kujilinda katika upande wa anga huku ikimaanisha Kama Ukraine wangekubaliwa ndege za Urusi zingeshambuliwa pale tu zinapoingia katika anga la UKRAINE.

Jambo ambalo halijaungwa mkono na NATO huku wakiweka wazi Kama wakifanya hivyo watakuwa wameruhusu vita ya Nuclear rasmi jambo ambalo siyo mpango wao.

Mwaka 2001 US na washirika wake waliweka no fly zone kule Iraq, 1992 Bosnia na 2011 Libya.

Je Raisi wa Ukraine Mr Zelensky alidanganywa kwa kuhakikishiwa msaada na NATO?? Au alijihakikishia mwenyewe.
Tuendelee kuwa watazamaji.
 
NATO hawataki vita na Russia, Ukraine apambane kivyake asiwategemee Wazungu wa Magharibi ni walaghai
 
Ukraine asingeingia vitani Kama angejua atakuwa peke yake Urusi nguvu yake ya kijeshi Ni kubwa Sana labda alihaidiwa atapata msaada na sivinginevyo.
Ukraine hiyo move ya kwenda west walianza miaka ya zamani sema baada ya kura ya maoni mchakato ukanoga kabisa hpo Russia akaona Hana namna zaidi ya kujiandaa kijeshi😂😂😂 na hii move ya Kijeshi Kwa Russia miaka ijayo itamharibia mahusiano na nchi zingine zilizokuwa Soviet
 
Russia hana namna yeyote zaidi ya hiyo risk was to be made kwa hili otherwise asingefanya hivi angekubali directly kukiweka kichwa chake karibu na mamba wenye njaa kari(US /NATO kwa ujumla)
 
Imharibie vp , wako NATO unadhani kuna ukaribu hapo? Mi naona itamjenga
 
Mawazo yako maziwa mgando.
 
 
Mawazo yako maziwa mgando.
Hujiulizi Kwa namna Russia alivyowekewa vikwazo atawezaje kuzipa misaada ya kifedha,ikiwemo ajira zile nchi ambazo ziko katika lengo wake? Hushangai kwanini anapelekewa kupoteza nchi zote za iliyokuwa umoja wa Kisoviety? Unazani Ukraine raia kuchagua kwenda Magharibi katika ushirika imetokea bahati mbaya?
 
Wewe bado nyanya mno. Hujui dunia. Subiri ukue kidogo utajua yaliyomo duniani. Russia ipo duniani zaidi ya miaka 5,000.

Tuliza kalio ujifinze mambo mengi.
 
Wewe bado nyanya mno. Hujui dunia. Subiri ukue kidogo utajua yaliyomo duniani. Russia ipo duniani zaidi ya miaka 5,000.

Tuliza kalio ujifinze mambo mengi.
Hiyo miaka 5000 ukuaji wake uliishia enzi za Soviety niambie Tangu enzi hizo Russia unamshawishi nani akae upande wake kimaslahi? Kama kapoteza majirani huko mbali ndio atapata support,? Dunia itakuwa ya Mchina, Russia alishapoteza grip
 
Hiyo miaka 5000 ukuaji wake uliishia enzi za Soviety niambie Tangu enzi hizo Russia unamshawishi nani akae upande wake kimaslahi? Kama kapoteza majirani huko mbali ndio atapata support,? Dunia itakuwa ya Mchina, Russia alishapoteza grip
Tuliza tako lako ujifunze acha ujuaji mtoto wa mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…