NATO waanza na deni la Trilioni3 Libya

Safi sana Mungu hamfichi mnafiki! hahahah NTC na walibya walisahau " There is no free lunch" hahahaa quid pro quo!
 
Huu ndio mwanzo wa kilio cha kusaga meno kwa WALIBYA.
 
kwani kuna agreement kati ya NATO na NTC?
IF YES UNDER WHAT LAW?
makubwa.
 
Waache wauone moto, kwani wajinga ndio waliwao.
 
jembe limeshaondoka hata kama alikuwa na madhaifu lakini amewatendea mengi tatizo binadamu huwa hawakumbuki mema maskini Gaddafi
 
watauona umuhimu wa Gadaff kwanza hao US walitumwa au viherehere vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…